Ukishavimbiwa mchemsho wa nguruwe na kushushia na K Vant kubwa unajianzisha mada za kiutopolo tu.Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Huna akili kama BashiteKtk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Nataka nimjue msemaji wa haya maneno?Isije kuwa tuu ni aliyepewa jina la chawa mashuhuri?Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Vitu vipo wazi kwa miaka ya sasa, Ni kwa vile wewe tu ndo huna akili timilifu kichwani. 🤕🤕Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Ahsante bibiVitu vipo wazi kwa miaka ya sasa, Ni kwa vile wewe tu ndo huna akili timilifu kichwani. 🤕🤕
Daah umempendelea sana... Huyo hana akili kama bi msumiHuna akili kama Bashite