Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi.

Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya wazi Rais pia anayo haki ya kulindwa. Kama nyie mnajilinda mkiwa mmejifungia majumbani kwenu mnaendesha mikutano yenu #Space huku mnakunywa wisk.

Hawafahamu hata protocol za ulinzi wa Rais Watanzania tuwe makini sana na hawa wanaharakati kwanini wanaona tabu Rais kuwa na ulinzi. Rais kutokuwa na ulinzi, wanakosa nini? Rais kuwa na ulinzi! Ulinzi ni udikteta?

IMG_20210809_105321.jpg
 
saaa uyo mariam ni mwanaharakati wa lipi hasa,
 
Hoja gani hii,mbona hata siafu kwenye misafara yao wanaulinzi
 
Wanaukumbi.

Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi.

Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya wazi Rais pia anayo haki ya kulindwa. Kama nyie mnajilinda mkiwa mmejifungia majumbani kwenu mnaendesha mikutano yenu #Space huku mnakunywa wisk.

Hawafahamu hata protocol za ulinzi wa Rais Watanzania tuwe makini sana na hawa wanaharakati kwanini wanaona tabu Rais kuwa na ulinzi. Rais kutokuwa na ulinzi, wanakosa nini? Rais kuwa na ulinzi! Ulinzi ni udikteta?

View attachment 1886053
Uanaharakati ni hatari Sana kwa usalama wa rais

USSR
 
Back
Top Bottom