MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 988
- 1,523
Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani.
2. Nature ya maswali ni objective. True and false, matching item, na Multiple choice.
3. Marking (usahihishaji) ya nature ya maswali haya ya objective ni either of two. "Umepata au umekosa".
Hakuna kupata nusu au kukosa nusu, nazungumzia ni either upate alama zote 2.5 katika swali au upate 0 katika swali kwa maana ya umekosa. Maswali ya objective si sawa na maswali ya subjective yanayohitaji uelewa ambapo marking yake kwenye alama 2.5 mnaweza kutofautiana hata 0.5 na mwenzako hutegemea jinsi mlivyoelezea.
Hoja.
Ni kwa vipi mtu anapata alama kwa kupishana alama 1, 1.5, 0.5, 2 nk katika maswali ya objective? Au alama za matokeo haya yalikuwa ya kukadiria??? au tuseme kuna standardisation ya alama za usahihishaji wa mtihani wa usaili????
Hapa bodi ya wataalamu wa usimamzi mmefail pakubwa iweje mtu apate alama 73 kwenye mtihani wa objective wenye mgawanyo wa alama 2.5 kwa kila swali???? Ina maana huyu mtu alipata kwa usahihi jumla ya mswali 29.2 ????? Hili swali la 0.2 ambalo halijatimia ni swali la namna gani katika mtihani wa objective??????
Ni kwa vipi mtihani wa objective ambao una mpishana wa alama 2.5 kwa kila swali mpishane alama 1 au 0.5 kwenye total marks???
Hapa hesabu zangu zimegoma kabisa jhata kama kuna wataalamu wa kufanyisha mtihani wasailiwa.
Naombeni ufafanuzi wa hilo.