Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
let it be the story for other day gentlemanTRA ipi inahitaji watu makini na waaminifu mkuu?

let it be the story for other day gentlemanTRA ipi inahitaji watu makini na waaminifu mkuu?

Mkuu umesoma wapi shule ? Umepataje audacity ya kusema haya, jamaa we unadhani kila kitu kinafanyiwa spinning? Hesabu zinakupiga chenga? Mtihani ulikuwa na maswali 40 na kila swali marks 2.5 hakuna uwezekano wowote duniani mtu akapata marks 73 ceteris paribus. Alafu hapa jamaa kaita wanahisabati sio wafanya spinning wa ccm... Mkuu huelewi ulichosema sababu mtihani haukuuona, lets say kuandika jina au namba Kuna mtu hajaweka namba na kapita amepitaje?...Gentleman,
kwenye interview yoyote ili iwe written au oral first impression yako ina marks zake na ina make sense sana,
mathalani,
Je, umeandika namba yako ya mtihani kwa usahihi, Je, umeandika jina lako kamili panapostahili? Je umeandika tarehe sehemu yake?
umefutafuta majibu na kuchorachora karatasi ya mtihani kiasi gani? kulikoni mebold majibu, majina, tarehe, namba ya mtihani n.k?
Yote hayo yana marks zake na huwezi kuambiwa. Huenda ulipata chini ya marks 65, kisha nilichokieleza kikakuboost hadi 73🐒
zingatia maelezo ya kitaaluma niliyompatia kijana asije kurudi tena makosa ya kufuta jibu moja mara6, hata kama atapatia hatapewa maksi yote kwasababu ni wazi hana hakika na huenda chabo zinampeleka puta.Mkuu umesoma wapi shule ? Umepataje audacity ya kusema haya, jamaa we unadhani kila kitu kinafanyiwa spinning? Hesabu zinakupiga chenga? Mtihani ulikuwa na maswali 40 na kila swali marks 2.5 hakuna uwezekano wowote duniani mtu akapata marks 73 ceteris paribus. Alafu hapa jamaa kaita wanahisabati sio wafanya spinning wa ccm... Mkuu huelewi ulichosema sababu mtihani haukuuona, lets say kuandika jina au namba Kuna mtu hajaweka namba na kapita amepitaje?...

Ndio mana nimemuacha kama alivyo kwa sababu nimemuona hana hoja. Kama ana hoja akamjibu jamaa alimuuliza ikiwa mtu amepata 100 hivyo vigezo vyake vitamuongezea alama mpaka 115???? Huwezi kua na usahihishaji subjective kama yeye anavyotaja vigezo vyake. Ikiwa vutatumika hivyo basi kutakuwa na bias. Ninachoelewa kwenye mitihani huwa unatakiwa kumuwekea alama mtahiniwa iki ajue ashinde vip mtihani wake.Mkuu umesoma wapi shule ? Umepataje audacity ya kusema haya, jamaa we unadhani kila kitu kinafanyiwa spinning? Hesabu zinakupiga chenga? Mtihani ulikuwa na maswali 40 na kila swali marks 2.5 hakuna uwezekano wowote duniani mtu akapata marks 73 ceteris paribus. Alafu hapa jamaa kaita wanahisabati sio wafanya spinning wa ccm... Mkuu huelewi ulichosema sababu mtihani haukuuona, lets say kuandika jina au namba Kuna mtu hajaweka namba na kapita amepitaje?...
We jamaa una akili nusu. We unashahidi gani kuwa wote ambao wamepata alama wanazozitilia mashaka walichafua mitihani yao.zingatia maelezo ya kitaaluma niliyompatia kijana asije kurudi tena makosa ya kufuta jibu moja mara6, hata kama atapatia hatapewa maksi yote kwasababu ni wazi hana hakika na huenda chabo zinampeleka puta.
walekeze na wanao, ndugu, jamaa na marafiki zako katika taaluma juu ya hilo ni muhimu sana
ukishupaza shingo hasara juu yako![]()
Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani.
2. Nature ya maswali ni objective. True and false, matching item, na Multiple choice.
3. Marking (usahihishaji) ya nature ya maswali haya ya objective ni either of two. "Umepata au umekosa".
Hakuna kupata nusu au kukosa nusu, nazungumzia ni either upate alama zote 2.5 katika swali au upate 0 katika swali kwa maana ya umekosa. Maswali ya objective si sawa na maswali ya subjective yanayohitaji uelewa ambapo marking yake kwenye alama 2.5 mnaweza kutofautiana hata 0.5 na mwenzako hutegemea jinsi mlivyoelezea.
Hoja.
Ni kwa vipi mtu anapata alama kwa kupishana alama 1, 1.5, 0.5, 2 nk katika maswali ya objective? Au alama za matokeo haya yalikuwa ya kukadiria??? au tuseme kuna standardisation ya alama za usahihishaji wa mtihani wa usaili????
Hapa bodi ya wataalamu wa usimamzi mmefail pakubwa iweje mtu apate alama 73 kwenye mtihani wa objective wenye mgawanyo wa alama 2.5 kwa kila swali???? Ina maana huyu mtu alipata kwa usahihi jumla ya mswali 29.2 ????? Hili swali la 0.2 ambalo halijatimia ni swali la namna gani katika mtihani wa objective??????
Ni kwa vipi mtihani wa objective ambao una mpishana wa alama 2.5 kwa kila swali mpishane alama 1 au 0.5 kwenye total marks???
Hapa hesabu zangu zimegoma kabisa jhata kama kuna wataalamu wa kufanyisha mtihani wasailiwa.
Naombeni ufafanuzi wa hilo.
Samahani hivi umesomea profession ndg yangu 😂😂zingatia maelezo ya kitaaluma niliyompatia kijana asije kurudi tena makosa ya kufuta jibu moja mara6, hata kama atapatia hatapewa maksi yote kwasababu ni wazi hana hakika na huenda chabo zinampeleka puta.
walekeze na wanao, ndugu, jamaa na marafiki zako katika taaluma juu ya hilo ni muhimu sana
ukishupaza shingo hasara juu yako![]()
Aisee 😂😂😂, hujui ulisemalo. Ujue saivi kuna mitihani mingine inafanyika online na huwa inatokea watu wanapata marks kama hizo zenye utata na online haina kufutafuta.. Si tulishakukataza kuongelea kitu haujui? Nimekuuliza kuna mtu hakuandika namba yake ila kapita amepitaje ? Ukitaka na ushahidi upo? Sio kila kitu mnafanya spinning, madogo wana haso sana kupambania hayo makombe nyie mnatafuta namna ya kufanya ionekane ccm inafanya kazi sahihi, mnakosea.... Jamaa aliita Mathematicians sio wana ccm mkuu...Madhara ya kila kitu yes kisa mama samia kasema ndio haya, hata kwenye logic huwezi kuona logic... sisi tumefanya hesabu zenye jibu kamili wewe unaleta story za abunuasi mkuu kwanini ? Hakuna mtu aliefutafuta mtihani, hakuna mtu aliokosea kuandika namba yake kapataje hizo marks ?zingatia maelezo ya kitaaluma niliyompatia kijana asije kurudi tena makosa ya kufuta jibu moja mara6, hata kama atapatia hatapewa maksi yote kwasababu ni wazi hana hakika na huenda chabo zinampeleka puta.
walekeze na wanao, ndugu, jamaa na marafiki zako katika taaluma juu ya hilo ni muhimu sana
ukishupaza shingo hasara juu yako![]()
Hili ndio jibu sahihi zaidi Active naomba ufunge uzi mkuu hakuna haja ya kuendelea na mjadala huu maana mdau hapo amemaliza kila kituKiongozi huruma saana, nimeona lile tangazo kwenye Whatsapp channel yao wametoa kama saa6 hivi.
Nakiongoz naona hapa umeandika hii comment yako saa9. Napata picha ni jinsi gani ulikuwa unayasubri na namna ulikuwa na matumain nayo.
Ila hayo ndo matokeo kiongozi.. Kwa namna yyt lazima iwe hivo.
Sio vibaya Kwa hoja yako. Ila hili swali lako Kwa usahihi lingejibiwa na panel.
Lakini pia hii hoja ilishawahi kutolewa hata huko kwenye utumishi(psrs).
Mdau Mmoja humu ndani nafikiri alikuja na majibu mazuri saana japo sikumbuki ule uzi wake ningeutag hapa.
Kikubwa wakat mwingine wanaweza kuwa Sheria zao ambazo mim nawewe hatuwezi kujua katika usahihishaji wao.
Mfano labda Kuna swali linaweza likawa na alternatives 4 za majibu kwenye multiple choices, alternatives 2 zikawa sahihi pia lakin 1 ikawa ni sahihi zaidi (mara nyingi hili nimeliona kwenye uchumi).
Kwahiyo wao wanaweza wakawa na Sheria zao kuwa atakaechagua alternative ambayo ni sahihi Zaid atavuna alama zote lakin atakaechagua miongoni mwa hiz alternative 2 atapata either nusu au robo ya marks ambazo atapata yule aliyechagua sahihi Zaid.
Hapa ndipo panaweza kutokea huo mkanganyiko unaosema.
Yote Kwa yote hili limepita tusubiri mengine yajayo.
Kuna tuliopata marks za kutosha ila cutting point imetutema.
Tuliza akili waza mengine, itakapokuja zamu yako hakuna atakaeweza kuzuia.. mungu atakupitisha kwa namna yyt ile
Ndio hivyo tena sana sana yale unayoona yana kitu kimeandikwa all of the above sasa ile all of the above ndio ina marks nyingi hizo za juu ni robo robo sasa ukichagua ya juu pale wanakupa robo ila ukichagua all of the above wanakupa zoteAu inawezekana swali moja likawa na majibu tofauti, yaani yote yanawezekana yakawa ni majibu lakini kuna utofauti wa uzito wa usahihi wa hayo majibu, ipo mitihani ya namna hii. Sijui hao wametumia mfumo gani.
Mkuu,Kiongozi huruma saana, nimeona lile tangazo kwenye Whatsapp channel yao wametoa kama saa6 hivi.
Nakiongoz naona hapa umeandika hii comment yako saa9. Napata picha ni jinsi gani ulikuwa unayasubri na namna ulikuwa na matumain nayo.
Ila hayo ndo matokeo kiongozi.. Kwa namna yyt lazima iwe hivo.
Sio vibaya Kwa hoja yako. Ila hili swali lako Kwa usahihi lingejibiwa na panel.
Lakini pia hii hoja ilishawahi kutolewa hata huko kwenye utumishi(psrs).
Mdau Mmoja humu ndani nafikiri alikuja na majibu mazuri saana japo sikumbuki ule uzi wake ningeutag hapa.
Kikubwa wakat mwingine wanaweza kuwa Sheria zao ambazo mim nawewe hatuwezi kujua katika usahihishaji wao.
Mfano labda Kuna swali linaweza likawa na alternatives 4 za majibu kwenye multiple choices, alternatives 2 zikawa sahihi pia lakin 1 ikawa ni sahihi zaidi (mara nyingi hili nimeliona kwenye uchumi).
Kwahiyo wao wanaweza wakawa na Sheria zao kuwa atakaechagua alternative ambayo ni sahihi Zaid atavuna alama zote lakin atakaechagua miongoni mwa hiz alternative 2 atapata either nusu au robo ya marks ambazo atapata yule aliyechagua sahihi Zaid.
Hapa ndipo panaweza kutokea huo mkanganyiko unaosema.
Yote Kwa yote hili limepita tusubiri mengine yajayo.
Kuna tuliopata marks za kutosha ila cutting point imetutema.
Tuliza akili waza mengine, itakapokuja zamu yako hakuna atakaeweza kuzuia.. mungu atakupitisha kwa namna yyt ile
Yes, kuna jibu ambalo ni sahihi zaidi wanaweza wakakupa majibu yote ni sahihi ila lipo jibu ni sahihi zaidi na ndio limebeba marks zote sasa ukienda na wenge utaliwa kichwaSjui lakini mostly kuna jibu ni correct hata sisi tulifanya written na kila jibu lina marks yake so kuna jibu la marks zote 2.5 na kuna pungufu ya hapo ndio maan written za PSRS unaambiwa cycle most correct answer not correct answer
Soma kwa kutulia mkuu kuna yale maswali ya all of the above yale majibu yote yanakua sahihi ila lile jibu la all of the above ndio sahihi zaidi sasa wewe ukiwa umechagua pale juu moja wapo kwa huruma wanaweza wakakupa 0.5 ya huruma kwamba ulijaribu kujibu maana nalo ni jibu ila sio jibu sahihi zaidi kuliko majibu yoteMkuu,
Written interview inakua na maksi pamoja na marking scheme. Mtu anaruhusiwa hata kuikatia Rufaa kwenye panel au kwenye vyombo vya kisheria kama mahakama, kuwa usahishaji umekua ni mbovu, sababu ni kwa kuwa jibu linajulikana ni 1 au 2 na sio discretion ya msahishaji.
Anachosema mleta mada yupo sawa, kama kuna utofauti wa hivyo kwenye maksi maana yake kuna walakini kwenye ujumlishaji wa maksi au hata na usahishaji wenyewe
Nipe process za kukata rufaa kiongoziMkuu,

Ungepata 73 nakupita oral, ungekuja kuuliza maswali yako hayo?Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani.
2. Nature ya maswali ni objective. True and false, matching item, na Multiple choice.
3. Marking (usahihishaji) ya nature ya maswali haya ya objective ni either of two. "Umepata au umekosa".
Hakuna kupata nusu au kukosa nusu, nazungumzia ni either upate alama zote 2.5 katika swali au upate 0 katika swali kwa maana ya umekosa. Maswali ya objective si sawa na maswali ya subjective yanayohitaji uelewa ambapo marking yake kwenye alama 2.5 mnaweza kutofautiana hata 0.5 na mwenzako hutegemea jinsi mlivyoelezea.
Hoja.
Ni kwa vipi mtu anapata alama kwa kupishana alama 1, 1.5, 0.5, 2 nk katika maswali ya objective? Au alama za matokeo haya yalikuwa ya kukadiria??? au tuseme kuna standardisation ya alama za usahihishaji wa mtihani wa usaili????
Hapa bodi ya wataalamu wa usimamzi mmefail pakubwa iweje mtu apate alama 73 kwenye mtihani wa objective wenye mgawanyo wa alama 2.5 kwa kila swali???? Ina maana huyu mtu alipata kwa usahihi jumla ya mswali 29.2 ????? Hili swali la 0.2 ambalo halijatimia ni swali la namna gani katika mtihani wa objective??????
Ni kwa vipi mtihani wa objective ambao una mpishana wa alama 2.5 kwa kila swali mpishane alama 1 au 0.5 kwenye total marks???
Hapa hesabu zangu zimegoma kabisa jhata kama kuna wataalamu wa kufanyisha mtihani wasailiwa.
Naombeni ufafanuzi wa hilo.
Hata ningepata 99 bado ningekuwa na uwezo wa kutaka kufahamu kwanini ni hivi???? Tatizo letu ukiwekewa Tonge mdomoni hujali fact. Ukifanikiwa unakuwa huhitaji maarifa, si ndio???Ungepata 73 nakupita oral, ungekuja kuuliza maswali yako hayo?