Wanahisabati toeni utata wa alama za ufaulu, majibu ya interview ya TRA

Mimi ninachojiuliza hapo kwenye Warden na Academic Officer nafasi zote zinahitaji idadi sawa ya watu lakini walioitwa kwenye Warden wamekuwa wengi na cut point hadi 70. Lakini Academic Officer watu 25 tu na cut point 74.
HUKU kwenye Warden Kuna mtu alikuwa anavutwa aingie oral?
 
Hongera sana waliochaguliwa kikubwa nikujiandaa vizuri na oral
 
Madaktari ndo wamezoea haya maswali,

Kwao, majibu yanatofautiana maksi.

Matalan, kila swali Lina maksi 2.5, lakini ukipata most correct answer unapata 2.5, ukijibu most incorrect answer unapata -1,

So kwa kifupi majibu tofauti Yana maksi tofauti from +2.5 to -2.5, let's say majibu yanaweza kuna na maksi +2.5, 1, 0,-1,-2.5.

Hizo ndo zinatofautisha alama kwa kila mtihani.

Note: Hii ni experience yangu Tu, sina hakika kama wameadipt this methods. Ila kwa wengi wawatu walioattend interview, I guess watatumia njian hii instead of correct or wrong.
 
Mkuu umesoma wapi shule ? Umepataje audacity ya kusema haya, jamaa we unadhani kila kitu kinafanyiwa spinning? Hesabu zinakupiga chenga? Mtihani ulikuwa na maswali 40 na kila swali marks 2.5 hakuna uwezekano wowote duniani mtu akapata marks 73 ceteris paribus. Alafu hapa jamaa kaita wanahisabati sio wafanya spinning wa ccm... Mkuu huelewi ulichosema sababu mtihani haukuuona, lets say kuandika jina au namba Kuna mtu hajaweka namba na kapita amepitaje?...
 
zingatia maelezo ya kitaaluma niliyompatia kijana asije kurudi tena makosa ya kufuta jibu moja mara6, hata kama atapatia hatapewa maksi yote kwasababu ni wazi hana hakika na huenda chabo zinampeleka puta.

walekeze na wanao, ndugu, jamaa na marafiki zako katika taaluma juu ya hilo ni muhimu sana
ukishupaza shingo hasara juu yako
 
Ndio mana nimemuacha kama alivyo kwa sababu nimemuona hana hoja. Kama ana hoja akamjibu jamaa alimuuliza ikiwa mtu amepata 100 hivyo vigezo vyake vitamuongezea alama mpaka 115???? Huwezi kua na usahihishaji subjective kama yeye anavyotaja vigezo vyake. Ikiwa vutatumika hivyo basi kutakuwa na bias. Ninachoelewa kwenye mitihani huwa unatakiwa kumuwekea alama mtahiniwa iki ajue ashinde vip mtihani wake.

Walionielewesha kuwa kulikuwa na most answer nimewaelewa, ingawa kwenye mtihani walitakiwa kuindicate either kwenye General instruction au kwenye sub section instructions. Lakini haikuwa hivyo.

Tunasema haya si kwa sababu tumekosa ila ni kwa sababu ya kurekebisha kuwe na clarity isije ikachafua taswira ya taasis kubwa.
 
We jamaa una akili nusu. We unashahidi gani kuwa wote ambao wamepata alama wanazozitilia mashaka walichafua mitihani yao.

By the way huwa nina accuracy katika ufanyaji wa mitihani na huo sio mtihani wangu wa kwanza wa interview. Na nikiondoka kwenye chumba huwa na alama zangu cut off marks.

Kwa jinsi nilivyofanya najua nilikosa maswali mangapi na mangapi ninauhakika nayo.
 

Kama unaamini hao watu huwa wanasahihisha hiyo mitihani basi unajidanganya sana
 
Samahani hivi umesomea profession ndg yangu 😂😂
 
Aisee 😂😂😂, hujui ulisemalo. Ujue saivi kuna mitihani mingine inafanyika online na huwa inatokea watu wanapata marks kama hizo zenye utata na online haina kufutafuta.. Si tulishakukataza kuongelea kitu haujui? Nimekuuliza kuna mtu hakuandika namba yake ila kapita amepitaje ? Ukitaka na ushahidi upo? Sio kila kitu mnafanya spinning, madogo wana haso sana kupambania hayo makombe nyie mnatafuta namna ya kufanya ionekane ccm inafanya kazi sahihi, mnakosea.... Jamaa aliita Mathematicians sio wana ccm mkuu...Madhara ya kila kitu yes kisa mama samia kasema ndio haya, hata kwenye logic huwezi kuona logic... sisi tumefanya hesabu zenye jibu kamili wewe unaleta story za abunuasi mkuu kwanini ? Hakuna mtu aliefutafuta mtihani, hakuna mtu aliokosea kuandika namba yake kapataje hizo marks ?
 
Au inawezekana swali moja likawa na majibu tofauti, yaani yote yanawezekana yakawa ni majibu lakini kuna utofauti wa uzito wa usahihi wa hayo majibu, ipo mitihani ya namna hii. Sijui hao wametumia mfumo gani.
 
Hili ndio jibu sahihi zaidi Active naomba ufunge uzi mkuu hakuna haja ya kuendelea na mjadala huu maana mdau hapo amemaliza kila kitu
 
Au inawezekana swali moja likawa na majibu tofauti, yaani yote yanawezekana yakawa ni majibu lakini kuna utofauti wa uzito wa usahihi wa hayo majibu, ipo mitihani ya namna hii. Sijui hao wametumia mfumo gani.
Ndio hivyo tena sana sana yale unayoona yana kitu kimeandikwa all of the above sasa ile all of the above ndio ina marks nyingi hizo za juu ni robo robo sasa ukichagua ya juu pale wanakupa robo ila ukichagua all of the above wanakupa zote
 
Mkuu,
Written interview inakua na maksi pamoja na marking scheme. Mtu anaruhusiwa hata kuikatia Rufaa kwenye panel au kwenye vyombo vya kisheria kama mahakama, kuwa usahishaji umekua ni mbovu, sababu ni kwa kuwa jibu linajulikana ni 1 au 2 na sio discretion ya msahishaji.

Anachosema mleta mada yupo sawa, kama kuna utofauti wa hivyo kwenye maksi maana yake kuna walakini kwenye ujumlishaji wa maksi au hata na usahishaji wenyewe
 
Sjui lakini mostly kuna jibu ni correct hata sisi tulifanya written na kila jibu lina marks yake so kuna jibu la marks zote 2.5 na kuna pungufu ya hapo ndio maan written za PSRS unaambiwa cycle most correct answer not correct answer
Yes, kuna jibu ambalo ni sahihi zaidi wanaweza wakakupa majibu yote ni sahihi ila lipo jibu ni sahihi zaidi na ndio limebeba marks zote sasa ukienda na wenge utaliwa kichwa
 
Soma kwa kutulia mkuu kuna yale maswali ya all of the above yale majibu yote yanakua sahihi ila lile jibu la all of the above ndio sahihi zaidi sasa wewe ukiwa umechagua pale juu moja wapo kwa huruma wanaweza wakakupa 0.5 ya huruma kwamba ulijaribu kujibu maana nalo ni jibu ila sio jibu sahihi zaidi kuliko majibu yote
 
Nipe process za kukata rufaa kiongozi
 
Ungepata 73 nakupita oral, ungekuja kuuliza maswali yako hayo?
 
Ungepata 73 nakupita oral, ungekuja kuuliza maswali yako hayo?
Hata ningepata 99 bado ningekuwa na uwezo wa kutaka kufahamu kwanini ni hivi???? Tatizo letu ukiwekewa Tonge mdomoni hujali fact. Ukifanikiwa unakuwa huhitaji maarifa, si ndio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…