Hata ningepata 99 bado ningekuwa na uwezo wa kutaka kufahamu kwanini ni hivi???? Tatizo letu ukiwekewa Tonge mdomoni hujali fact. Ukifanikiwa unakuwa huhitaji maarifa, si ndio???
Hata ningepata 99 bado ningekuwa na uwezo wa kutaka kufahamu kwanini ni hivi???? Tatizo letu ukiwekewa Tonge mdomoni hujali fact. Ukifanikiwa unakuwa huhitaji maarifa, si ndio???
Ndio wabongo wengi walivyo, wakishafanikiwa hawajali kuhusu wengine au kuhusu uhalali wa mfumo uliowapitisha.
Kuna muda unaweza amini hata CCM huwa hawaibi kura maana watanzania wengi ni wazembe,wajinga na wapuuzi (wanaopuuzia). Mtu anayehoji kuwa ungefaulu ungeuliza haya unafikiri anaweza kuhoji kuhusu katiba mpya au hata hii iliyopo??