WANAHITAJIKA MAFUNDI UJENZI DAR-ES-SALAAM, UBUNGO, KAZI NI UPIGAJI WA PLASTER

WANAHITAJIKA MAFUNDI UJENZI DAR-ES-SALAAM, UBUNGO, KAZI NI UPIGAJI WA PLASTER

Dolla_Mbili

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,230
Reaction score
3,077
Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu, Asubuhi na mapema tukimbizane........

Kazi ni kubwa na mafundi ni wengi sana wanaohitajika kwa wepesi mdau anaweza akanicheki WhatsApp kwa namba 0654335361 kwa ziada

Ukifika Garage ya mwendokasi pale ubungo utakua umefika karibu na jengo hilo, unaweza kupiga simu ukapokelewa kwa wepesi na kazi kuanza.

Vifaa kama mkonombao na mwiko fundi analazimika kuja navyo vya kwake, kwa habari ya Rati zitakuwepo ila kwa fundi ananyependa kumaliza kazi yake mapema ni vyema akaja na ya kwake ili kuepuka kuchelewa kwa kuazimana!

Site iko ubungo, karibu na garage ya mwendokasi.
 
Wakifika mafundi 1000 utaweza kuwapatia kazi wote ?
Hata wakifika hao bado hatutaweza kumaliza kazi kwa siku moja, kazi ni kubwa ya floor kama 12 nje ndani kupigwa plaster...... changamoto itakua usimamizi kama watakuja kwa mara moja tutajaribu kufanya namna tu ya kuweka utaratibu mzuri kila mmoja apate katika usimamizi mzuri
 
Kuna fundi yeyote aliyefika niweze kumpokea wakuu???
 
Back
Top Bottom