Digital base
Senior Member
- Jul 19, 2020
- 140
- 217
Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam.
Max Pro Ltd inatangaza nafasi za kazi kwa watu 10 wenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko.
Tunahitaji watu wenye wenye bidii,ubunifu na uelewa mzuri wenye uwezo wa kushawishi wateja wapya kununua bidhaa zetu.
SIFA ZA WAOMBAJI :
Kiwango cha elimu kuanzia ngazi ya Cheti au Diploma katika masoko,biashara au fani inayofanana
Lakini pia ikiwa hauna elimu hiyo ila una uzoefu na uwezo mzuri wa kufanya mauzo unakaribishwa kutuma maombi.
Uzoefu wa kazi za mauzo kwa mwaka 1 mpaka miaka 3 katika mauzo na masoko
Uwe na mawasiliano mazuri na muonekano wa kitaaluma.
Uwe na uwezo wa kufanya kazi kwakujitegemea na kufikia malengo (Target) uliyopewa bila kusimamiwa
Uwe na uwezo wa kutumia Online Platforms (Facebook,Instagram,TikTok,WhatsApp n.k) kufanya mauzo kwasababu ni njia ambayo itakusaidia kupata wateja wengi na kufikia malengo yako ya mauzo na malengo ya Kampuni
Uwe tayari kujifunza na kuendana na mazingira ya kazi kwa haraka.
MFUMO WA MAUZO
1.Tunatumia mfumo wa mauzo wa kawaida wa kutembeza bidhaa Direct kwa wateja (Door to Door)
2.Tunatumia mfumo wa mauzo ya mtandaoni (Social Media Marketing) ambapo tutakuwa na Program za mafunzo mara kwa mara kwa wasambazaji wote wa bidhaa zetu ambao hawajui kutumia mfumo wa kuuza na kupata wateja wengi mtandaoni.
Lengo ni kuongeza ufanisi wa mauzo na kumuweza Afisa mauzo kufikia malengo yake ya mauzo ya siku,wiki na mwezi ili kuongeza mauzo ya Kampuni
MALIPO
Mshahara miezi 3 ya Mwanzo utalipwan Tsh.225,000 kwa mwezi
BONUS
Tuna BONUS za kila wiki kwa watu 3 wanaofanya vizuri kwenye mauzo
1.Mtu wa kwanza aliyefanya vizuri kwa wiki atapatiwa BONUS ya Tsh.50,000
2.Mtu wa pili anayefuatia kwa mauzo mengi atapatiwa BONUS Tsh.35,000
3.Mtu wa 3 katika kufanya mauzo mengi kwa wiki atapatiwa BONUS ya Tsh.20,000
Ikitokea wauzaji 2 au wote 3 wamelingana kwa idadi ya juu ya mauzo ya Target ya wiki wote watapatiwa BONUS ya Tsh.50,000
Kila mmoja anayefikia Target atapatiwa Commission BONUS ya 15% kwa mwezi
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Tuma maombi kwa [email protected] yakiwa na Barua ya maombi na CV
Unaweza kufanyia kazi mkoa wowote ulipo kwa utaratibu maalum ambao utapatiwa