Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni
Mwingine mkubwa kuliko yeye akaibuka kwenye salamu za mwaka mpya.. Lakini hadhira haikumpokea vema! Kisha akarudi mafichoni
Kwa jicho la kawaida unaweza kucheka na kudhihaki. Lakini kiuhalisia hali ni mbaya na hili jambo ni baya Sana
Watoto wana hofu
Wazazi wana hofu
Ndugu wanna hofu
Marafiki wana hofu
Familia zina hofu
Mwisho kaya nzima ina hofu
Ni mwendo wa kuogopana kule kuaminiana tena hakupo.. Kila mtu anatembea na hofu yake!
Mfadhili ana hofu
Mfadhiliwa ana hofu
Mhanga ana hofu
Ni hofu juu ya hofu
Tunaibuka na kupotea hii sio afya bali ni maandalizi ya kiama kibaya.. Tunahitaji kuishinda hii hofu kabla haijatunga mimba na kijifungua