Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea
Wengine wamedai mtu akishakuwa G*Y hata akanushe kiasi gani huwa tabia hizi hazijifichi ipo siku zinadhihirika
Tazama Video pamoja na Screenshots za Wanaijeria