Sema itakua umbea tu. Ila burna jamaa serious ni shoga, huu upuuzi ulianza toka enzi yupo na steflon zile kauli za steflon mwamba kuwa na uume mdogo, kukosa nguvu za kiume, ni dhahiri mwamba ni shoga, na muda mwingi amekua mtu wa kazi na familia yake haswa mama na si mahusiano ya kimapenzi na mwanamke anayefahamika. This goes to diamond sikuhizi amekua mtu wa kazi sana, na muda mwingi anajificha kwenye mgongo wa mahusiano na zuchu lakini hana mahusiano yanayoeleweka.
Ila burna boy ni shoga, thou the video si issie maana hype aliyotumia hapo body language lazma iwe hivo. anatembea, Mkono wa kulia umeshika mic, mkono wa kushoto upo stationary na mapafu na Koo yanatoa hype tena ya maneno mazito kama hayo.
"IF YOU WANNA FUCKING FEEL THE VIBE TONIGHT, LEMME HERE YOU SAY BUUUUURNAAA"
Maneno yanatumia sana nguvu ya mwili hayo.