Una ushahidi?Itakuwa P-Diddy effect 😜
Jamaa ni mbogaWanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea
Wengine wamedai mtu akishakuwa G*Y hata akanushe kiasi gani huwa tabia hizi hazijifichi ipo siku zinadhihirika
Tazama Video pamoja na Screenshots za Wanaijeria
View attachment 3183238View attachment 3183239
Inaitwa pidgin English. Ni kiingereza ambacho kimechanganyika na lugha zao za asili.Nigerians uandishi wao wa english huwa unanishangaza sana.
Unajua hili ni jukwaa gani?Hii inasaidiaje kukuza uchumi wa nchi yetu?
Usichukulie serious MkuuUna ushahidi?
Jagon..Nigerians uandishi wao wa english huwa unanishangaza sana.
We unakujazaje uchumi ?uliambiwa huku JF wanauza pembejeo za kilimo?Hii inasaidiaje kukuza uchumi wa nchi yetu?