Wanaipenda Siku ya Jumamosi wakiamini huwa na bahati Kwao, ila wakasahau kuwa tarehe 30 huwa si nzuri Kwao

Wanaipenda Siku ya Jumamosi wakiamini huwa na bahati Kwao, ila wakasahau kuwa tarehe 30 huwa si nzuri Kwao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
 
Tulia sasa popoma unaweweseka nini? Si unajuwa mechi imepangwa saa 11? Sasa acha kuweweseka subilini mfundishwe adabu.
 
Kwa mujibu wa staili ya zile tabiri za Marehemu Shehe Yahaya, Tarehe 30 humaanisha timu ya nyumbani (Mwenyeji) ndio itashinda goli 3 - 0
 
makolo wakifanikiwa kuingiza fissi tena kiwanjani kama walivyo fanya last time, hatuwafungi hata kama tuna kikosi gani, yaani dawa yao ni kuhakikisha uwanjani kabla mechi fisi hakatizi
KABISAAA
 
Back
Top Bottom