MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tulia sasa popoma unaweweseka nini? Si unajuwa mechi imepangwa saa 11? Sasa acha kuweweseka subilini mfundishwe adabu.Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
ukikaidi utapigwa2 ScarsNa Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
Ambao nakuhakikishia Kesho Wanafungwa.UPEPO UPO KWA YANGA
sio kwa KOSI hiliAmbao nakuhakikishia Kesho Wanafungwa.
sio kwa KOSI hili
KABISAAAmakolo wakifanikiwa kuingiza fissi tena kiwanjani kama walivyo fanya last time, hatuwafungi hata kama tuna kikosi gani, yaani dawa yao ni kuhakikisha uwanjani kabla mechi fisi hakatizi