Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
kama upo mwenyewe hata ukinywa juisi au chai simple asubuhi na mchana ,usiku ndo unakula napo kistaarabu halafu jumamosi/jumapili unapata chakula cha maana ,fanya hivi mpaka ukipata pesa ya kutoshaKaka nipo mwenyewe tu π€£π nikiwa nafamilia nahama mji
Watu wengi mnachanganya kula vizuri na balance dietBolding was necessary ??π€£
Wew niseme tu , ila soon najibanua
Kula mapupu na enej ππSasa mimi nahitaji nile kwa siku 10k kwa Dar mitaa ya huku bonyokwa .Najua nitakuwa nimekula diet kwa ndaniπ€£π