Wanajamii,shukrani na oneni feedback ya mradi niliouanzisha kwa ushauri wenu

Wanajamii,shukrani na oneni feedback ya mradi niliouanzisha kwa ushauri wenu

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Tarh 29/10/2012 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea FEEDBACK ya kinachoendelea ktk mradi huu.

Tarh 26/12/12 tetea wa mwisho(wa 20) alitotoa vifaranga na kukamilisha idadi ya vifaranga 142 yan wastani wa tetea 1 kwa vifaranga 7 na wote ni wazima hvyo nina jumla ya kuku 162. Ukweli hii ni shughuli rahisi sana ila inahitaji ufuatiliaji wa kila siku pia gharama za dawa na chakula cha ziada ni NDOGO SANA(nimetumia 49000 tu) ambayo niliipata kwa kuuza mayai niliyopunguza kabla tetea hawajayaatamia,niliuza jumla ya mayai 125 kwa bei ya sh 300 kwa yai hvyo jumla ni 37500.

Nawashukuru sana woote hasa platozoom, huyu jamaa Mungu ambariki sana, pia Seq, HP1, [MENTION=34266]Ritz[/MEN
 
kaka nipe utaalamu na mm. 0652545478
Tarh 29/10/2013 niliweka
post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu
lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea FEEDBACK
ya kinachoendelea ktk mradi huu.

Tarh 26/12/12 tetea wa mwisho(wa 20) alitotoa vifaranga na kukamilisha
idadi ya vifaranga 142 yan wastani wa tetea 1 kwa vifaranga 7 na wote ni
wazima hvyo nina jumla ya kuku 162. Ukweli hii ni shughuli rahisi sana
ila inahitaji ufuatiliaji wa kila siku pia gharama za dawa na chakula
cha ziada ni NDOGO SANA(nimetumia 49000 tu) ambayo niliipata kwa kuuza
mayai niliyopunguza kabla tetea hawajayaatamia,niliuza jumla ya mayai
125 kwa bei ya sh 300 kwa yai hvyo jumla ni 37500.

Nawashukuru sana woote hasa
platozoom,
huyu jamaa Mungu ambariki sana, pia
Seq,
HP1,
Ritz,
TIQO,
Kajole,

sabay4,
Mama
Joe
,
Dafo,
NATA,
Omugurusi,

NGARIBA
Dume, FirstLady1,
kamkoda,
Elli
na wengineo.

Asante sana na Mungu awabariki,.jobless wenzangu chukueni hii kama
challenge kwenu(mtaji ni mdogo sana chini ya 320000).
 
Last edited by a moderator:
Hongera....ngoja niitafute thread yako uliyoombea ushauri ili na mimi nipate A,B,C za huo mradi
 
kaka nipe utaalamu na mm. 0652545478

Usijar mkuu ntakupgia keshokutwa j3 tuongee vzur nikipanda town saiz nipo bush network ya mtandao wako inazingua huku nlipo
 
kaka nipe utaalamu na mm. 0652545478

Usijar mkuu ntakupgia keshokutwa j3 tuongee vzur nikipanda town saiz nipo bush network ya mtandao wako inazingua huku nlipo...
Lakin pia unaweza soma maelezo ya kutosha kbs yapo hapa kwny jukwaa hili.
 
Duh na mimi ushauri wangu ulizangitiwa, hivi nilisemaje kumbe Mpwa? ndio ile ya kupunguza idadi ya Jogoo? Nimefurahi sana kuona umefnikiwa, MUNGU aendelee kukupigania na utafanikiwa zaidi na zaidi na MUNGU wangu aibariki na kuitakasa kazi ya mikono yako, wote tuseme AMEN
 
duh na mimi ushauri wangu ulizangitiwa, hivi nilisemaje kumbe mpwa? Ndio ile ya kupunguza idadi ya jogoo? Nimefurahi sana kuona umefnikiwa, mungu aendelee kukupigania na utafanikiwa zaidi na zaidi na mungu wangu aibariki na kuitakasa kazi ya mikono yako, wote tuseme amen
amen amen amen
 
Pawaga mimi vifaranga wangu wanavimba macho na midomo,weweunakabiliana nao vipi?
 
Last edited by a moderator:
Tarh 29/10/2013 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea FEEDBACK ya kinachoendelea ktk mradi huu.

Tarh 26/12/12 tetea wa mwisho(wa 20) alitotoa vifaranga na kukamilisha idadi ya vifaranga 142 yan wastani wa tetea 1 kwa vifaranga 7 na wote ni wazima hvyo nina jumla ya kuku 162. Ukweli hii ni shughuli rahisi sana ila inahitaji ufuatiliaji wa kila siku pia gharama za dawa na chakula cha ziada ni NDOGO SANA(nimetumia 49000 tu) ambayo niliipata kwa kuuza mayai niliyopunguza kabla tetea hawajayaatamia,niliuza jumla ya mayai 125 kwa bei ya sh 300 kwa yai hvyo jumla ni 37500.

Nawashukuru sana woote hasa platozoom, huyu jamaa Mungu ambariki sana, pia Seq, HP1, Ritz, TIQO, Kajole, sabay4, Mama Joe, Dafo, NATA, Omugurusi, NGARIBA Dume, FirstLady1, kamkoda, Elli na wengineo.

Asante sana na Mungu awabariki,.jobless wenzangu chukueni hii kama challenge kwenu(mtaji ni mdogo sana chini ya 320000).

ungeambatanisha link ya post ya kwanza, ingekuwa njem zaidi. hata hivyo hongera kwa kuyakubali mwenyewe mafanikio yako
 
Duh na mimi ushauri wangu ulizangitiwa, hivi nilisemaje kumbe Mpwa? ndio ile ya kupunguza idadi ya Jogoo? Nimefurahi sana kuona umefnikiwa, MUNGU aendelee kukupigania na utafanikiwa zaidi na zaidi na MUNGU wangu aibariki na kuitakasa kazi ya mikono yako, wote tuseme AMEN

Aaameni,na ukweli nilizingatia sana ushaur wako nikala jogoo watatu,asante!.
 
ungeambatanisha link ya post ya kwanza, ingekuwa njem zaidi. hata hivyo hongera kwa kuyakubali mwenyewe mafanikio yako

Ntamaholo,natumia simu ndo maana nimeshndwa kuwalink but unaweza ipata hyo thread ipo jukwaa hili hili la ujasiliamali
 
Pawaga mimi vifaranga wangu wanavimba macho na midomo,weweunakabiliana nao vipi?

Yawezekana wanakosa VITAMINI A hvyo wapi vitamin A ya dukani au wape mboga za majani hasa mchicha...pia unaweza jifunza zaidi kuna thread humu zinaeleza kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hongera sana kwa kuanzisha huo mradi, nakuombea mafanikio. Pia nawapongeza Wana JF wote waliokuwa bega kwa bega na wewe katika kufanikisha mradi huu.
 
hongera sana
jf faida tele kwa mtanzania
 
Mkuu hongera sana kwa kuanzisha huo mradi, nakuombea mafanikio. Pia nawapongeza Wana JF wote waliokuwa bega kwa bega na wewe katika kufanikisha mradi huu.

COPPER na Mama D asanteni sana na hii social network ibarikiwe sana yan inatoa msaada wa ajabu kbs,mawazo ya kutafuta ajira yametoweka kbs sasa napambana kuboresha huu mradi ili niweze kuzalisha kuku 1000 kwa mwaka ambao watanipa kiasi cha mil 10 c haba mkuu
 
Hongera sana wewe na washauri.

Tutaiga na sisi kaka.
 
Back
Top Bottom