Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Tarh 29/10/2012 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea FEEDBACK ya kinachoendelea ktk mradi huu.
Tarh 26/12/12 tetea wa mwisho(wa 20) alitotoa vifaranga na kukamilisha idadi ya vifaranga 142 yan wastani wa tetea 1 kwa vifaranga 7 na wote ni wazima hvyo nina jumla ya kuku 162. Ukweli hii ni shughuli rahisi sana ila inahitaji ufuatiliaji wa kila siku pia gharama za dawa na chakula cha ziada ni NDOGO SANA(nimetumia 49000 tu) ambayo niliipata kwa kuuza mayai niliyopunguza kabla tetea hawajayaatamia,niliuza jumla ya mayai 125 kwa bei ya sh 300 kwa yai hvyo jumla ni 37500.
Nawashukuru sana woote hasa platozoom, huyu jamaa Mungu ambariki sana, pia Seq, HP1, [MENTION=34266]Ritz[/MEN