Tupo mkuu..vipi nawe upo wapi?Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
labda njia...huwa unashinda wapi kwani?Afadhali na wewe umejitokeza, sijakuona siku nyingi, au tulikuwa tunapishana njia!
Ahsante sana BBCKaribu sana Wakubupa
Inawezeka MkuuAu wamebadilisha ID zao!