Wanajamiiforums mko wapi?

Wanajamiiforums mko wapi?

bbc

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
3,836
Reaction score
4,146
Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
 
Tupo mkuu..vipi nawe upo wapi?
 
labda njia...huwa unashinda wapi kwani?
Kwenye ofisi za watu lakini jioni namna hii najaribu kuzitatafuta nyuzi zenu humu JF
 
Back
Top Bottom