WanajamiiForums wote tuna Landcruisers

DIVISHENI FOO

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
1,440
Reaction score
3,142
Humu hakuna makapuku wala-vumbi. Ni mtandao wa mataita wenye pesa chafu.

Huwezi kukuta mshiriki wa jamiiforums anamiliki vigari vya hovyo hovyo kutoka china.

Humu wote tunamiliki landcruisers na magari mengine yenye hadhi ambayo ni chuma kweli kweli.

Na kwa kuongezea pia, wote humu tuna nguvu za kiume na tuna DEGREE.

Hii inajithibitisha hata kwenye ule uzi wetu wa tunda la kimasihara, huwezi kukuta mtu ameopoa mtoto sehemu za hovyo hovyo. Wote tuliopoa watoto sehemu zenye hadhi tukiwa tunakunywa WISKI na TEKILA.

Hongera Jamiiforums kwa kuwa KITALU cha watu mashuhuri.
 
Amka boya ukakojoe, kunakoelekea utaota unataga,
 
Ukome kunisingizia
 
Shenzi! Mi mwenyewe hapa nilipo ni HOUSE BOY sina hata baiskeli halafu unasema wote tuna gari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…