Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu.
Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaripotiwa kuwa hawana mafunzo ya kutosha na wanapigana kwa mbinu za kizamani, wakiwa hatarini kushambuliwa na ndege zisizo na rubani zinazotumiwa na Ukraine.