Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
mtu aliyeuliwa vitani picha mpaka ikufikie wewe za kazi gani? huwezi kufurahia habari hizi lakini ndio hali halisiPicha ya wanajeshi walio uawa tafadhali.....!?
Hawa wajinga sijui hua wanahisi sisi tunaotazama habari wote hua ni mazezeta au vipi.
Hamna kitu kama hicho, nimetafta hizo picha katika Channel nyingi za Ukraine sijaona hata moja, hivo hizi habari ni kuwa nazo makini, target hapo ni kutusha tu.mtu aliyeuliwa vitani picha mpaka ikufikie wewe za kazi gani? huwezi kufurahia habari hizi lakini ndio hali halisi
Hivi haunaga cha kuonzea, ynai duuuh, aaah, deeeh, diiii kila comment,🤣🤣Duh aiseee
Hivi haunaga cha kuonzea, ynai duuuh, aaah, deeeh, diiii kila comment,🤣🤣
Kweli kabsiaComment fupi inaepusha shari na mapovu yasiyo takiwa
Uongomtu aliyeuliwa vitani picha mpaka ikufikie wewe za kazi gani? huwezi kufurahia habari hizi lakini ndio hali halisi
Ila mkuu Wakorea waliokwenda Russia ni 600 hao 1000 waliokufa mme watoa wapTakriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu.
Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaripotiwa kuwa hawana mafunzo ya kutosha na wanapigana kwa mbinu za kizamani, wakiwa hatarini kushambuliwa na ndege zisizo na rubani zinazotumiwa na Ukraine.
View attachment 3211721
Basi maaskari wa N.korea ni maroboti hawafi vitaniHamna kitu kama hicho, nimetafta hizo picha katika Channel nyingi za Ukraine sijaona hata moja, hivo hizi habari ni kuwa nazo makini, target hapo ni kutusha tu.
Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu.
Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaripotiwa kuwa hawana mafunzo ya kutosha na wanapigana kwa mbinu za kizamani, wakiwa hatarini kushambuliwa na ndege zisizo na rubani zinazotumiwa na Ukraine.
View attachment 3211721
Nakuuliza,uliwahesabu?Ila mkuu Wakorea waliokwenda Russia ni 600 hao 1000 waliokufa mme watoa wap
Tafuta watu wanaojua kusoma kiingereza wakusomee utaelewa. Usisubiri tu kuambiwa na Sheikh Kitinku kama anavyosema Komeo Chuma🤣Ila mkuu Wakorea waliokwenda Russia ni 600 hao 1000 waliokufa mme watoa wap
Ila mkuu Wakorea waliokwenda Russia ni 600 hao 1000 waliokufa mme watoa wap
Endelea kula pilipili huko India, na ukishamaliza nenda ukakae chooni masaa sita hiyo ndio Kazi unaweza pekee kwenye propaganda waachie wengineTakriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu.