Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

Waanzilishi wa vita huwa awaathiriki na vita bali watoto wa wenzao. Hii vita ni ubabe wa putin tu ndo umewaponza hao wanajeshi kaingia vita bila kujua kina cha maji na anaona aibu kuacha vita
 
Hiyo source Yako fake,kama ilivyo kawa Kwa source za mabeberu na washirika wao 🤸
 
Kule Kenya huwezi wapelekea hizi Propaganda mfu, hizi unatuletea tu sisi huku.usha tuaona wajinga sana
 
Kule kenya ukipeleka habari kama izi za uwongo lazima ukutane na panga la kichwa la mkikuyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule Kenya huwezi wapelekea hizi Propaganda mfu, hizi unatuletea tu sisi huku.usha tuaona wajinga sana
 
Kazingirwa apa jf ama wapi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…