Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siku zote huwa nawaambia watu usimdharau mjinga.Hamna kitu cha hatari kama kuingia kichwa kichwa kwenye nchi ya watu halafu haujajiandaa kwa vita vya muda mrefu.
hahahaaaaaKuingia tu kwenye " special operation" na Kiev, ni ishara tosha kuwa Kremlin siyo smart.
Chanzo ni huyo mpogolo kasema tumuaminHabari hii mbona haina chanzo!
Kama ni hivyo basi Urusi utapata Hasara.
Russia kama wangekuwa na wanajeshi takriban milioni moja wasingekuwa na sababu ya kufanya new recruitment.
Idadi kamili ya jeshi iliyonayo nchi waga inatiwa chumvi mno na mataifa mengi duniani na inaonekana nchi kama Russia wanajeshi walionao kama ni wengi ni laki nne tu.
Hivyo wanasajili vijana wapya ili pia kambi mbalimbali kule Russia zisibaki tupu.
Atokee mmoja amuue Putin ndio hivi vita vitaishaWaliomba kwa kujitetea kwamba wao hawana kosa bali wanalazimishwa na Putin, na wanafamilia zinawategemea
Kama Ukraine wameishiwa vyumba vya kuhifadhi mateka, wawalete hapa Gamboshi tuwahifadhie mateka waoWaliomba kwa kujitetea kwamba wao hawana kosa bali wanalazimishwa na Putin, na wanafamilia zinawategemea
Hii imekaa vizuriNotably, the Ukrainian army achieved this success with an iron strategy and tactical plans. And this is it from the Russian army, where the Russians just shoot and cut every civilian who stands in their way.
The victory of the tactical operation of the Ukrainian army to encircle Russian troops in the Kherson region may determine the course of the entire southern campaign of the Armed Forces of Ukraine.
Hakuna nchi inaweza kuwa na wanajeshi milioni moja na eti bado inapeleka wafungwa vitani na kuchukua vijana wasio na kazi eti nao pia kuwapeleka vitani.Tupe source ya habari yako. Angalia usikojoe kitandani
Hivi hao waliozingiriwa Toka July,mrejesho wake vipi?mda uliopo ni mchache sana. zelensky ameimiss crimea huo mda wa kuhudumia mateka hatuna kwakweli.
cha msingi hao mateka wasimalizwe kabla ya kutuma jumbe za usia kwa familia zao.
nchi inahitaji mbolea ya kutosha
zele chinja......chinja usiogope jicha..... [emoji445][emoji444]
Aje huyo MK254 atueleze zoezi la kuzingira liliishaje?Nimejaribu kubalance hii habari na vyombo vingine imekua zero ,embu tupeane habari za ukweli jamen mambo ya kukopi na kupest kweutoka kwenye websites zisizo na uhalisia ,so vema humu tuko pro NATO na pro Russia sidhani kama kuna anayependa habar za uongo