Wanajeshi 20,000 wa Urusi wadaiwa kuuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut, Ukraine

Kwa akili yako wewe mjanja unakataa au unabishia nini? Unajua ni kwanini warusi wameshindwa kutwaa mji huo? Acha mahaba bwashee mrusi hamna kitu mbele ya Ukraine ni silaha tu but jeshi halipo pale
Waliopo pale ni wale mobilised i.e. waliozolewa kwa mtindo wa kamata-kamata kutoka mitaani na Magerezani Wakapewa mafunzo fasta-fasta ya wiki 2-3 halafu wakaswagwa kwenda frontline. Sasa je, hilo ni jeshi kweli au ni watu walipelekwa ili kumaliza risasi za Ukraine?
 
Urusi ana raia wengi sana wa kuwafanya cannon fodder, yeye mara zote vita kwake ni kushinda kwa wingi, sio ubora. Hapo Ukraine hata akitoa raia wake milioni kafara ili aonekane tu ameshinda kwake sio ishu.
Hivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini kuuawa kwa askari 20 wa Urusi elfu huko Ukraine?
 
Hakika, Urusi ukiondoa nuclear tu hakuna kitu pale.
JWTZ hii hii mkuu? Embu acha kuvunjia heshima Jeshi letu. Ukiweka silaha za Nuclear chini, mchukue Mrusi, Mchina, Iran n.k wote waweke pamoja kisha walete, hawachomoki hao wehu.

Tena tukipewa vifaa ndo kabisaaa.
 
Punguza matumizi ya mihadarati wewe pacha wa Mathanzua uache hallucinations.
 
Posti za Google Translate zinajaa ukakasi kinoma.
 
Hizi taarifa za uongo!
Askari 20,000 wakae eneo moja kama mchwa?

Wawadanganye wasiona na uelewa.
kuna watu uelewa ni mdg sana mnahisi hivo vifaru vinalenga miti ?'au mnahisi ni vita zenu hzo za panyaroad?
 
Kaka vita ni kitu kingine. JWTZ sisi Mrusi tunamuweza, labda atumie hayo makombora ya masafa marefu lakini sio kwenye uwanja wa vita.
Uko serious ama unachangamsha jukwaa? Russia mlikuwa mnapeleka huko vijana kupata mafunzo, achilia mbali hizo missiles kwenye mbinu, uzoefu na elimu ya vita huwagusi. Hio sio M23.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…