Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

Wana muogopa Putin ndio maana hata silaha wanazo mpa Ukraine wanampa na masharti kuwa wasipige ndani ya Urusi, wakati huu Urusi anapiga hadi shule, hivi hili jambo wewe unajizima data?
Hapigi shule kwa kukusudia anapiga long range missiles kutoka black sea hivyo zinaenda kutua popote tu maana vita ya mkono ardhini ameshindwa sasa ni mwezi 5 kapoteza askari wengi balaa wakiwemo manejerali zaidi ya 30
 
Hakuna shida target ni Donbas , tunakaribia kumaliza mji wa Lysychanck tukamilishe lengo, snake Island ni eneo dogo sana tena sio Donbas
Jomba, vita ya Klemlim na kyiev siyo mechi ya msimbazi na jangwani
 
ule msururu wa vifaru vimeishia wapi? mataifa hayajaingia fully wanapeleka silaha tu chache, wazee wazima Nato wakiingia fully Russia litabaki vumbi tupu na jangwa
Mmekutana na Zelensky mara ngapi nyumbani kwake na kwenu? Mmekaa vikao vingapi? Ma sniper wangapi mmewaregister? Matokeo mnayopata yanareflect cost mlizo incar?
Juz bwabwaja lenu kubwa, ametangaza kusajili wanasayansi wasiopenda utawala wa Putin, inareflect nin kama sio kushindwa?
 
Sasa hawo wanasayansi kutoka nchi gani au huko gongolamboto ulikojichimbia na Tecno?,
 
Huyu ndio msemaji wa Ukraine? amefanya body count lini au takwimu katoa wapi?
Hao wachache
ukraine_defence-20220701-0001.jpg
 
Hapigi shule kwa kukusudia anapiga long range missiles kutoka black sea hivyo zinaenda kutua popote tu maana vita ya mkono ardhini ameshindwa sasa ni mwezi 5 kapoteza askari wengi balaa wakiwemo manejerali zaidi ya 30
Ameshindwa wakati amekalia miji ya Ukraine? Kule Luhansk bado Lysychanck tu ikamilike, kila siku Nato wanaleta silaha na pesa mpaka wana nchi wao maisha magumu halafu unasema wameshindwa!! Leo mbichi wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamefanya mgomo Ufaransa, hii yote ni kazi ya Putin
 
Miji anakalia kwa muda tu baadae anaitema hujaskia kuhusu Snake Island jana? Walikula shaba wakaachia wenyewe maamae
 
Snake sio mji ule ni eneo tu la kimkakati, mbona Ukraine walikimbia Soverednetsk kweupe ambao ni mji muhimu , mda sio mrefu utaelewa
 
Sema wewe jamaa ni muongo sana..vitu unavoweka ni vya uwongo uwongo tu

Back
Top Bottom