Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nikadhani pale pale kumbe ni hukoo nchi za mbaliWanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).
Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.
Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.
Mwezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
msingi wa Uisilamu ni Quran, ahadith, na miratul rasulUislamu sio ugaidi,bali ndani ya uislamu Kuna magaidi na hasa hili dhehebu moja la ansal suni limefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi na hakuna muislamu anathubutu kukemea.
Hii dini isingekuwepo watu wangeishi kwa amani zaidi, kila walipo ni mapigano.Uislamu sio ugaidi,bali ndani ya uislamu Kuna magaidi na hasa hili dhehebu moja la ansal suni limefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi na hakuna muislamu anathubutu kukemea.
Pole yaoWanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).
Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.
Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.
Mwezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
Let them cry their own cry they have Boko Haram we have alshaabab.Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).
Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.
Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.
wezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
Ninawaambia watu kila siku ya kuwa ugaidi na uislam ni kama maji na mafuta. Kamwe haviwezi kukaa pamoja. Magaidi wanatumika kuuchafua uislamStupid! Wanafaidika nini kuua ndugu zao na wazalendo wenzao?? Huo siyo Uislam ni ugaidi.
Everyday is Saturday............................... ๐
Sasa mkuu kwann Waislam mnaruhusu waislam wachache wachafue dini yenu? Kwa maana hao wanaoitwa magaidi wanatoka katika jamii hizo hizoNinawaambia watu kila siku ya kuwa ugaidi na uislam ni kama maji na mafuta. Kamwe haviwezi kukaa pamoja. Magaidi wanatumika kuuchafua uislam
NigeriaBorno iko nchi gani?