Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Hivi karibuni, wakitumikia katika vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kulinda amani huko Afrika ya Kati, wanajeshi wawili wa Tanzania walikoa manza na kufanya ngono na wenyeji kinyume cha ustaarabu.

Haikuelezwa bayana walifanya nini hasa, lakini inajulikana kwamba kosa la kufanya ngono bila ridhaa halivumiliwi kabisa na Umoja wa Mataifa.

Matokeo yake, Umoja wa Mataifa uliwatimua wanajeshi wote 60 wa kikosi cha Tanzania wanaotumika huko.

Jambo hili lilifanyiwa hush hush nchini na wala raia hawakuelezwa, kama kawaida.
Mmomonyoko wa maadili sasa umefika jeshini. Subirini makubwa!
 
naomba fatilia tabia za wanajeshi wa nchi zingine hii ni bahati mbaya kwa wanajeshi wetu.
 

Ingekuwa kwa kagame, hao wabakaji wa jwtz wangepata chs moto
 
Nawaonea huruma sanaaa wakirudi watasumbuliwa sanaaa.......
 
Vipi wale wanafunzi wa form six " vigoli" wanaoenda JKT!?? Hali itakuwaje!??inaonesha Kuna Mengi huko!! Ila yanafichwa
 
Twende mbele turudi nyuma, hao wanajeshi wanawekewa Utaratibu Gani wa kutimiza haja zao za kimwili? Je, kama wanawake wa huko wamezimikia six pack za wanajeshi wetu wao ni nani Hadi washindwe kurespond positively????
 
That is unbecoming behavior
 
11 Juni 202

Umoja wa Mataifa umetangaza kukirudisha nyumbani kikosi cha walinda amani 60 kutoka Tanzania waliokuwa Magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kufuatia madai ya unyanyasaji wa kingono na dhulma.
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric amewaambia waandishi wa habari kwamba uamuzi wa kukirudisha kikosi hicho nyumbani ulifanywa kufuatia mashauriano na ujumbe wa kulinda amani nchini CAR, MINUSCA.
"Uamuzi huo unawadia baada ya uchunguzi wa awali ambao ulipata ushahidi wa kuaminika kwamba wanachama 11 wa kitengo hicho walidaiwa kujihusisha na unyanyasaji wa kingono na kuwadhulumu waathiriwa wanne", Bw. Dujarric alisema.

Chanzo Taarifa: BBC SWAHILI NEWS

Mkiambiwa mna matatizo mnakasirika. Halafu tunawekana sawa mkisikia Kikosi cha Kulinda Amani cha nchi yoyote jua ya kwamba 98% huwa ni WANAJESHI na hizo 2% huwa ni kutokea katika Taasisi zingine hivyo kwa Tanzania ukisema tu WANAJESHI jua ni JWTZ ( wakiwemo wale MP wa Lugalo waliovalia Kininja ) waliowapiga RAIA wa Kawe hovyo Wiki iliyopita, Kuwajeruhi na Kuwatesa mno kwa Kosa tu lililofanywa na Mtu Mmoja.

Msinunie Mimi, ila Wanunieni BBC.
 
Fake news
 
Fake news

Mkiambiwa acheni kupenda Kuingiliwa hovyo Kusikotakiwa na Vitabu vya Mwenyezi Mungu ( Biblia na Quran ) ambako Unakupenda kwani kunawafanya si tu muwe ni Wapumbavu bali sasa mmekuwa kama Matahaira hamsikii.
 
Mkiambiwa acheni kupenda Kuingiliwa hovyo Kusikotakiwa na Vitabu vya Mwenyezi Mungu ( Biblia na Quran ) ambako Unakupenda kwani kunawafanya si tu muwe ni Wapumbavu bali sasa mmekuwa kama Matahaira hamsikii.
.
 
Could it be that those soldiers who were sent packing, are the ones who were molesting innocent Kawe residents? I am told they were accused by UN of raping and snatching.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…