Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

Kwakuwa wengi wao wana D mbili tu za Form 4
 
Hiyo iliwahi kutokea miaka ya nyuma kijiji kimoja wanaita malatu juu kipo wilaya ya newala mkoani mtwara pale kijijini kulikuwa na kambi ya mafunzo ya mgambo wakaweka marufuku mbuzi wala ng'ombe asisogee maeneo yale akifika tu ni halali yao,siku moja mbuzi wa mzee fulani akaenda afande akaamrisha mgambo amchinje wamle nyama mgambo akakataa kwasababu hakuna asimyejua mwenye mbuzi ni mtu wa aina gani,afande akaamua achinje yeye kiukweli kufupisha stori huyo afande alikufa kifo cha hatari sasa siku ya kuzika sanduku linatetemeka yaani kama aliyopo ndani hajafa vile alikuja kuzikwa kabla ya muda uliopangwa ila alishaambiwa kuhusu yule mbuzi akatia kiburi
 
Hiki ulichoandika kimetokea wapi, hivi karibuni, ni wanajeshi walivalia sare au walevi wanaofanyia kazi jeshini wamepigana na walevi wenzao, tuache kuwapa tuhuma ambazo siyo za umma, mmekosana binafsi unakuja kuandika taasisi siyo kweli.
 
Kama mwenzao amepigwa kwanini wasifanye uchunguzi wakamkamata mhusika?
Hii inaonesha hakuna vita ndiyo maana hawana sehemu ya kupunguza hasira. Waende kutoa msaada hata hapo kongo.
 
Mimi sijui kuandika humu, ila wewe umenizidi, mtu mpaka asome maandishi yote afanye kazi,.
 
Kwann wakufanye uteseke, ungesema sitoi lift tu
 
Kutokana na necha ya kazi ya jeshi, kupigwa kwa raia hakukwepeki.
 
Wanajeshi wa kupiga raia ama kuogopwa na raia sio hawa.
Tofauti ya mwanajeshi na raia ni bunduki tu zaidi ya hapo ni uoga na ujinga wako. Magwanda huwa hayapigani wala kukupatia nguvu za kupigana.

Zama za raia kuogopa magwanda ziliishia kipindi cha mkapa.

Sikuhizi wakizingua wanachapika sana tu
 
Kwa mwandiko tu huu, jambo krutaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…