GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asante sana Mkuu. Ubarikiwe.
Close thread
Nzuri.Habari za 🇺🇬
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer anafukuzwa? Na hata nikifukuzwa Umasikini wako utaisha?Hawajakufukuza tu?
Asante.Sehem ya kuu ya uwongozi wa walinzi
Shida ni Tabia zako Waganda wana sheria kali sana kaka.Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer anafukuzwa? Na hata nikifukuzwa Umasikini wako utaisha?
Sheria Kali za Roho Mbaya, Chuki na Wivu wako? Hebu nitokee hapa Mnafiki mkubwa Wewe. Umenileta Wewe hadi Uumie?Shida ni Tabia zako Waganda wana sheria kali sana kaka.
Si ule mchezo wako Uganda wana sheria kali nakuambia.OhooSheria Kali za Roho Mbaya, Chuki na Wivu wako? Hebu nitokee hapa Mnafiki mkubwa Wewe. Umenileta Wewe hadi Uumie?