Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,494
Reaction score
2,540
Moja kwa moja kwenye hoja,

Mimi ni miongoni mwa wasiyopenda ndevu kabisa. Nikitoa ndevu naonekana nadhifu sana na najisikia kujiamini kuliko nikiacha ndevu ziote.

Utaratibu wangu ni kunyoa mara moja kwa wiki na inanighalimu sana na inanipotezea muda. Hata hivyo, ndani ya wiki lazima ndevu ziote na kuchoma na kutoa vipele.

Mwanzo nilikua natumia nyembe nikaona sipati matokeo ninayoyataka, nikawa natumia mashine, lakini hakuna mabadiliko yoyote.

Lakini wanajeshi na askari kwa matakwa ya taaluma yao huwa hawafugi ndevu na mara zote wako nadhifu. Ebu wakuu tusaidieni videkozo vya namna ya kunyoa ndevu na kuepuka kutokea vipele.

Karibuni.
 
Tumia poda pia nyoa baada ya siku nne tu ...nakuhahakikishia kidevu kitakuwa Kama Cha mtoto mchanga.
 
Tumia aftershave lotion
 
Kama una ngozi laini sana pia tumia prosaso,hii kwa soft soft inawafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…