Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

Unanyoa ndevu unaosha kidevu kama unaosha Embe hhhhhhh
 
Kweli maisha ni tofauti, mimi natamani niwe na ndevu sipati
 
Mkuu umewahi kuona Mmasai ana ndevu?

Huenda wakawa na solution.
 
Wanatumia unga wa risasi kupaka kidevuni kama After Shving
 
Wananyoa, mara mbili kwa wiki.
 
Wanateseka Sana usiwaone videvu vyeupe .waulize wenye saloon karibu na kambi zao utaambiwa wananyoa mpaka Kwa mkopo maana ukikutwa na ndevu unapewa Lindo ndo kama sio zamu yako
 
MAJI YA BETRI
 
Piga mvuke uso wako tumia wembe mpya kunyoa.
Jua uelekeo wa ndevu zako.
Usitumie nguvu kabisaa wakati wa kunyoa fanya km unafuta.
Paka sabuni yoyote acha ikauke
Osha kwa maji vuguvugu.
Interval ya kunyoa izingatiwe ili kuondoa kulazimisha.
•Inategemea na asili ya ngozi yk.
 
Tumia shaving cream, poda au majivu. Hakikisha huna kipele na uoakaze kidevuni kabla hujanyoa, yaani hivyo vitu ukitumia huoni upele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…