Tetesi: Wanajeshi na polisi mliopo Majani Ya Chai muwahisheni raia mliyegonga na gari hospitali. Tumewaona!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Ni tukio la dakika tano.

Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.

Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
 
Ni tukio la dakika Tano Kuna raia anegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai ITAKUWA ni Jeshi maana wote wapo ENEO la tukio na wanauzoa mwili na kufuta FUTA damu Ili KUPOTEZA ushahidi.
TAFADHALI mpekekeni hosptali huyo mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaaa
picha?
 
inaonekana walikuwa mwendo wa ngiri mkia juu
 
Ni tukio la dakika tano.

Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.

Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
Kwenye hii taarifa yako hata wewe hujui muhusika wa hiyo ajali.
 
Back
Top Bottom