Wanajeshi saba wa Uganda katika kikosi cha Umoja wa Mataifa wameuawa na Al-Shabaab nchini Somalia

Wanajeshi saba wa Uganda katika kikosi cha Umoja wa Mataifa wameuawa na Al-Shabaab nchini Somalia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Hayo yameelezwa Jumapili Juni 22, 2025 na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.

Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa Kusaidia Kuleta Utulivu nchini Somalia (AUSSOM) na kilichopewa jukumu la kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab na walipambana kwa muda wa siku tatu katika eneo la Lower Shabelle, na kufanikiwa kuukomboa mji huo mikononi mwa wanamgambo hao

Mashambulizi ya hivi karibuni ya Al Shabaab yamezua hofu ya kuibuka tena kwa makundi ya itikadi kali katika taifa hilo la Pembe ya Afrika, hasa wakati huu kikosi cha AUSSOM kilichochukua nafasi ya kile cha ATMIS kikipambana na ukosefu wa askari wa kutosha pamoja na upungufu wa fedha

===
At least seven Ugandan soldiers have been killed in Somalia, an army spokesperson said on Sunday, part of the ongoing fight against the al-Shabaab terrorist group
The soldiers were part of the African Union Support and Stabilisation Mission in Somalia (AUSSOM) tasked with combating al-Shabaab.
Recent attacks have stoked fears of a terrorism resurgence in the Horn of Africa nation, especially coming as AUSSOM struggles with insufficient troops and funding shortfalls.
The losses came during a three-day siege over a town in the Lower Shabelle region, a Ugandan defence ministry statement said, adding the town was recaptured from al-Shabaab

Fears of resurgence
"Unfortunately we lost seven soldiers during the battle," Ugandan People's Defence Force spokesman Felix Kulayigye told AFP
AUSSOM, which replaced the previous ATMIS deployment, currently has 11,146 soldiers – although it stated in April it required an additional 8,000

Somalia has long struggled with terrorism, although the Al-Qaeda-linked group had been forced onto the defensive in 2022 and 2023 by Somali forces backed by African Union-led peacekeepers
Recent attacks in key towns have provoked worries of the organisation's resurgence, with the militants targeting President Hassan Sheikh Mohamud's convoy in capital Mogadishu in March


ug.png

​
Source: TRT GLOBAL & DW KISWAHILI​
 
Kuna mambo mengine ni tamaa tu zinawapeleka
Eti wanaenda kutuliza amani

Wao wameshindwa wewe utaweza? Au ni hizo hela wanapewa
 
Back
Top Bottom