Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon.

Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza na kushangilia kumbe na wao wanasikia uchungu wa vifo. Wanachopata kutoka kwa Hezbollah ni haki yako.
=========================
The occupation soldiers carry their dead in ambush on the borders of Lebanon and start crying

View: https://x.com/sgunay24961/status/1851328969741943044?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Attachments

  • twidown-video.mov
    2 MB
⚡️INGIA TU:

Mwandishi wa kituo cha 12 cha Israel Nitzan Shapira alijeruhiwa "katika vita na Hezbollah kusini mwa Lebanon". "Waandishi wa habari" wao ni askari.

"Nilijeruhiwa usiku wa leo wakati wa shughuli na timu yangu huko Lebanon wakati wa kazi yetu ya hifadhi na nikavunjika mguu, lilikuwa tukio gumu sana, ilichukua masaa kuwaondoa majeruhi na haikuwa rahisi."
 
Wazayuni wanachekesha sana wao wakiuliwa wanalia kama watoto. Lakini wao wakiua watoto wanafurahia. Kweli wahenga walisema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Meja Jenerali wa zamani wa Israel Israel Ziv:
“Tunapoteza askari wengi sana. Tunazika askari waliokufa kila mara. Gharama ni kubwa sana na ni ngumu kwa kila mtu.”
 
Wazayuni wanachekesha sana wao wakiuliwa wanalia kama watoto. Lakini wao wakiua watoto wanafurahia. Kweli wahenga walisema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Kwanin magaidi wa Allah wanajificha nyuma ya watoto?
 
Meja Jenerali wa zamani wa Israel Israel Ziv:
“Tunapoteza askari wengi sana. Tunazika askari waliokufa kila mara. Gharama ni kubwa sana na ni ngumu kwa kila mtu.”
Wamekufa 370 toka vita vianze huku uongozi wa Hamas na Hisbollah umesambaratishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…