Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

Hii vita ya Mashariki ya Kati ina ujinga mwingi sana. Ka nchi kamoja kanajiona kana haki na kako juu ya nchi nyingine! Kana kandamiza haki za wengine kiasi cha kusababisha hao watu kukosa uvumilivu, na hivyo kuamua kulipa kisasi! Na matokeo yake wanauwawa hata wale watu wasio na hatia!!

Cha kushngaza dunia iko kimya! UN iliyoanzishwa kwa lengo la kusimamia amani ya dunia, na yenyewe kwa sasa haina tofauti na League of Nations! Binafsi sitoshangaa ikitokea Vita Kuu ya Tatu ya dunia. Maana dalili zote zinaonekana.
 
Propaganda za kishogo hizo kwa hiyo mabomu yanachagua wa kuuwa wanauwa watoto yanawacha Hamas.
Hawa si wamezoea jumapili kuambiwa fungueni hapa wanapikwa uongo than wanafunika kujihangaisha na lililo nje ya kinachongelewa hawawezi so wanabakia kuimba tu dunia nzima vita vikipigabwa watu wana camouflage shida iwepo kwa hamas
 
Hizo taarifa zipo ila mazayuni wa kwa mpalange hawazitoi!
 
🛑| 🇮🇱 Retired Maj. General Itzharik Brik told Maariv

That Israel is collapsing — The economy is collapsing, society is collapsing, Israel is at odds with the world and losing it

He says the IOF is fooling the people that the tunnels are being destroyed, which is a big lie.

He says, Israel may have destroyed just a few percent of the total tunnel network under Hamas’s control. Hamas remains in the tunnels, almost all of them, contrary to what the military claims about having destroyed 50%. They live in tunnels equipped with airco, fuel, and everything they need. They’ve stockpiled 1-2 years’ worth of food.

Brik explains that the main issue is that the Israeli military, which has significantly declined over recent decades, cannot maintain territory for an extended period.

Brick criticized Halevi’s leadership, saying: “He continues to fail.
 
hezbollah sasa hivi wanwawacha waingie Lebanon, wao wanarudisha vijiji vy aKipalestina vinavyokaliwa na mazayuni huko 9srael, wakigeua, wanawanyowa lebanon wamarudi israel.

Mashoga wanapigwa kijinga sana:


View: https://www.youtube.com/live/Nnksr9aOXnw?si=Ko4idaChNJsu6BEU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…