Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri huko Lebanon

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
 
Chakula safi kabisa hicho jamaa anakikanyaga?
Chukua chemsha maji, kwangua vinyweleo kama kitimoto, kaanga kula upate nguvu ya kuchinja wengine
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Muda mwingine muwe mnapitia post humu. Issue hiyo imesharipotiwa sana humu. Leteni mambo mapya
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Acha wafe
 
Hayo ni mambo ya kawaida kwenye vita.

Hata hivyo nina wasiwasi na hao wauaji kama ni Hezibollah kweli kutokana na mavazi yao.

Tupatie chanzo cha taarifa.
 
Back
Top Bottom