Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri huko Lebanon

Mbali na kwamba IDF wana operate ndani ya ngome za Hizbullah magaidi yaliyohusika ktk hilo tukio zaidi ya 20 waliuwawa na drone pale pale ila huwez kuwaona maana IDF huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu wanaheshimu maiti
Aah wapi!

Leo wamelipua makaburi ya Bashoura huko Beirut.
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Tamko walilolitoa Hizbullah dakika chache zilizopita mpaka muda huu wameuliwa wanajeshi 17 wa Israel tangu walipotangaza operation yao kusini mwa Lebanon.
 
Mbali na kwamba IDF wana operate ndani ya ngome za Hizbullah magaidi yaliyohusika ktk hilo tukio zaidi ya 20 waliuwawa na drone pale pale ila huwez kuwaona maana IDF huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu wanaheshimu maiti
Wacha uongo.
 
Haaa muwe na uruma awa wafuasi w nyau apo walipo wapo hoi kiakili muirani wanamuota usiku na mchana wapeni punzi kidogo🤣🤣🤣 vikao avish kule moja ya ajenda muimu makubaliano tukirusha mauwa kule kila mmoja awe na shimo lake la kukujificha na akuna kutaftano ktk sim adi tusikie yule babu ayatollah kasema nn. Mwingine ansema atatumiwa msg dkk 2 kabla kuwa sisi tunashafisha nyota tu atuna ugovi n utawala wako mzee wetu. Tunakupenda👀. Pengine atapotezea.😩
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Unaambiwa hakuna hezbollah hata mmoja kauwawa wanauwawa wanawake na watoto tu
 
So hapo ni Tel Aviv?
Hizbullah, houthi,iraq wanapiga ndani ya israel kutwa kucha,so vita iko kote,japo mpaka alasiri israel walikua bado hawajafanikiwa kuingia lebanon,hilo onyo ni mashambulizi ya hovyo ya ndege
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Gharama za vita hizo..
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
video iko wapi?
 
Zingekuwa ni za kijinga, wafalme ama watoto wao wasingekuwa wanafundishwa uaskari.

Tuseme akina Kikwete, Kagame na M7 ni wajinga sana siyo?
Hao siyo wajinga ndiyo maana waliachana nazo wakakimbilia sehemu salama na siyo kutumwa kupigana wakati wakubwa wao wanachekela ofisini tu.
 
Hii video inazunguka sana humu tokea juzi naona zinapostiwa tu, leteni mpya mpya bhana
 
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.

Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Netanyaho na uroho wake wa madaraka anawaponza watoto wa watu
 
Attachments

  • IMG_20241003_155026.jpg
    IMG_20241003_155026.jpg
    113.7 KB · Views: 2
Hawa mod wana mambo ya kuwaki sasa video yangu wameondoa ya nn?
Wakupige ban kabisa. Mbona Israel inaua magaidi kutwa kucha lakini hawaweki video za maiti mtandaoni
 
Back
Top Bottom