Aah wapi!Mbali na kwamba IDF wana operate ndani ya ngome za Hizbullah magaidi yaliyohusika ktk hilo tukio zaidi ya 20 waliuwawa na drone pale pale ila huwez kuwaona maana IDF huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu wanaheshimu maiti
Huoni Bendera za Hizbullah?Izi picha mbona kama za October 7 ktk uvamizi w hamas sidhan kama n kusini mwa Lebanon.!!!
Walokole utawaweza basiWw huzioni bandera za Hizbullah zikipepea?
Tamko walilolitoa Hizbullah dakika chache zilizopita mpaka muda huu wameuliwa wanajeshi 17 wa Israel tangu walipotangaza operation yao kusini mwa Lebanon.Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Wamefuata mademu jamaniiiikwani wamefuata nini huko?
Wacha uongo.Mbali na kwamba IDF wana operate ndani ya ngome za Hizbullah magaidi yaliyohusika ktk hilo tukio zaidi ya 20 waliuwawa na drone pale pale ila huwez kuwaona maana IDF huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu wanaheshimu maiti
Unaambiwa hakuna hezbollah hata mmoja kauwawa wanauwawa wanawake na watoto tuWanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Hizbullah, houthi,iraq wanapiga ndani ya israel kutwa kucha,so vita iko kote,japo mpaka alasiri israel walikua bado hawajafanikiwa kuingia lebanon,hilo onyo ni mashambulizi ya hovyo ya ndegeSo hapo ni Tel Aviv?
Zingekuwa ni za kijinga, wafalme ama watoto wao wasingekuwa wanafundishwa uaskari.Kazi za jeshi ni za kijinga sana
Gharama za vita hizo..Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
video iko wapi?Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Hao siyo wajinga ndiyo maana waliachana nazo wakakimbilia sehemu salama na siyo kutumwa kupigana wakati wakubwa wao wanachekela ofisini tu.Zingekuwa ni za kijinga, wafalme ama watoto wao wasingekuwa wanafundishwa uaskari.
Tuseme akina Kikwete, Kagame na M7 ni wajinga sana siyo?
Kwa nini Hezbollah wameruhusu Israel waingie ndani ya nchi yao?Hizbullah haijaivamia Israel bali Israel ndo ameivamia Lebanon.
Watu wanaelekea Mto Litani.Jahannam
Netanyaho na uroho wake wa madaraka anawaponza watoto wa watuWanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Wakupige ban kabisa. Mbona Israel inaua magaidi kutwa kucha lakini hawaweki video za maiti mtandaoniHawa mod wana mambo ya kuwaki sasa video yangu wameondoa ya nn?