Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Kule Ukraine, rafiki wa karibu wa Putin, raisi Donald Jonathan Trump, ana mpango wa kusitisha vita kwa kuigawana Ukraine na bwana Putin..

Hii ni habari njema au habari mbaya?
Usiwaamini Marais wamarekani nikiongea kama mpenda haki hakuna sababu ya kuigawa ukraine na anacho fanya Russia ni Ubabe wa kipuuzi nikiongea kimagharibi ni kwamba kama itagawiwa hio Ukraine itakua jambo jema sana
 
Huku tanzania tunakaa sana darasani, unatoka class umri mkubwa na ukikosa cha kufanya unakua kama umepoteza muda darasani.
 
Usiwaamini Marais wamarekani nikiongea kama mpenda haki hakuna sababu ya kuigawa ukraine na anacho fanya Russia ni Ubabe wa kipuuzi nikiongea kimagharibi ni kwamba kama itagawiwa hio Ukraine itakua jambo jema sana
Kuigawa Ukraine iwe jambo jema kwa nini?
 
Vita ni ua nikuue lakini Vita hii inakula kwa Mwarabu.
Mwarabu kashazoea mateso kwamiaka mingi vile palestina inachangiwa na West yote lkn japo kwasasa vita inakula vichwa vya mvamizi wao wa ardhi vifo vimekuwa vingi kwao na vilema kibao twende tu mdogomdogo unajua najua mwisho ni mvamizi ndio atatoka na chup mkononi😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…