Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Haina shida ila nao hawataacha lipite, kwani hata hao walioachwa yatima watakuwa na kuja kulipa tena na tena
Yaani hakuna ugomvi mbaya kama wa visasi maana huwa hauishi
Mkuu wewe nina imani ni Mwisilam wa Uingereza, washaurini Waarabu waache Vita na warudishe Mateka kuliko kuwachochea wapigane mpaka waishe.
 
Israel kijeshi in anga tu lakini ground Battle no mweupe ameweka vitoto vingi wale Watu wazima wanastaff mapema
Hii sio Vita ya kwanza kwa Israel soma Historia jinsi Nchi za Kiarabu zilivyochakazwa kwa pamoja.

Israel imekuwa ikitoa FAFO kwa miongo mingi.
 
Gaza ni kaeneo kenye marefu ya Kilometres 41 na kwa Mapana ya 6 Kilometres kamezungukwa na IDF maeneo yote kasoro kusini ambako ni Egypt.

IDF ni moja ya Majeshi yenye nguvu katika Mashariki ya Kati na kwengineko hiyo Vita Mwarabu hawezi kutoboa atauwawa kama Kuku.

Waisilamu wa Tanzania mnatakiwa muwashauri Waarabu kuwa waache Vita warudishe mateka wote waliowateka Israel Judea na Samaria.
Kinachonishangaza ni licha yakaeneo kadogo kalikozingirwa na jeshi bora kabisa lakini wanaume wahapo wanapambana mwezi wa 13 huu. Hili nalo mkalitazame.
 
Kinachonishangaza ni licha yakaeneo kadogo kalikozingirwa na jeshi bora kabisa lakini wanaume wahapo wanapambana mwezi wa 13 huu. Hili nalo mkalitazame.
Kumbuka Urban Guerillas style of fighting ni ngumu ndio maana Maelfu kwa Maelfu ya Watu wanauwawa.

Lakini mwishowe Israel itashinda Trusts me.
 
Wanaukumbi.

⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.

🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.

🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20.

View: https://x.com/suppressednws/status/1856194763201929559?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hapo ujue upande wa pili ni majanga makubwa kwa kawaida waisrael wanaishi kwa uwiano wa 1 kwa 100, mwaka jana Hamas waliua Wayahudi 1,200 jamaa mpaka sasa walipa 44,000. Wana kanuni moja inaitwa paying 100 when given 1, (kulipa 100 wapopewa 1) ukiwatendea jema 1, watakulipa mara 100 na kinyume chake. Pia wana msemo "Hakuna linaloshindikana chini ya jua kama una akili na pesa, na bahati nzuri vyote tunavyo".
 
Mkuu wewe nina imani ni Mwisilam wa Uingereza, washaurini Waarabu waache Vita na warudishe Mateka kuliko kuwachochea wapigane mpaka waishe.
Mkuu hakuna anaechochea ugomvi na hakuna anaeweza kuwalazimisha nini wafanye
Qatar amejaribu sana kusuluhisha lakini utakubalije kuachia mateka wakati bado unapigwa na kuuwa watu zaidi ya 40,000

Huu ugomvi haukuanza leo na nia ya myahudi ni kuhakikisha ardhi yote inakuwa ya kwao
Wewe kama binadamu tukiacha dini unaona ni sawa kinachoendelea huko?

Be honest
Mimi naona wanapoendelea kupiga na kuuwa basi amani haitapatikana maisha yote mpaka wakae meza moja na kila mmoja awe na sehemu yake ya kuishi

Mimi nimekaa mashariki ya kati miaka mingi tena enzi za wababe kama kina Arafat na hata Black September ambao wengi humu hawajawahi kuwasikia kabisa
Sina ushabiki sana maana naijua vizuri Middle East
 
Hapo ujue upande wa pili ni majanga makubwa kwa kawaida waisrael wanaishi kwa uwiano wa 1 kwa 100, mwaka jana Hamas waliua Wayahudi 1,200 jamaa mpaka sasa walipa 44,000. Wana kanuni moja inaitwa paying 100 when given 1, (kulipa 100 wapopewa 1) ukiwatendea jema 1, watakulipa mara 100 na kinyume chake. Pia wana msemo "Hakuna linaloshindikana chini ya jua kama una akili na pesa, na bahati nzuri vyote tunavyo".
Palestina wanapigana kijesh wanauwa wanajesh kisheria wapo sawa lkn unachosema ww ingekuwa wanauwa 100 Hamas hii vita wangeshashinda kitambo!! Lkn sasa wanauwa wamama watoto wachanga mia au mia200 kwaakili yako unadhani litazuiya vita na Hamas wataweka mtutu chini na kitambaa cheupe juu😀😀 tufanye kama ww ndio Hamas afu watoto wako 3 wote wameuwawa na IDF mtutu unao mkononi chaguo lako litakuwa lipi????
 
The importance of the attacks carried out by Al Qassam ,Palestinian Islamic Jihad and Al Aqsa Martyrs Brigades today in Northern Gaza can't be stressed enough.

The Islamic Resistance in Northern Gaza are directly combating the "Generals Plan" to clear Northern Gaza of any Palestinians.

The attacks on the Zionist occupation indicate the beating heart of the resistance fighters.

The Islamic Resistance announce:

-Blowing up a house after 10 Zionist entered - 10am

-Targeted a D9 Bulldozer and Merkava tank - 11am

-Targeted a D9 Bulldozer - 1pm

-Sniped a Zionist soldier and struck a foot force with two bombs - 1:30 pm

-Targeted a Zionist force taking refuge in a house - 1:39pm

-Mortar attack on troop gatherings - 2pm

-Destruction of a force of 7 Zionist soldiers with bombs and finishing them off with machine guns - 3pm

-Merkava tank and D9 bulldozer hit - 3pm

This level of Resistance after carpet bombing and massacres by the IDF shocks the Israeli security apparatus.

May Allah be with the defenders of Northern Gaza!

12 November 2024

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
 
Wanaukumbi.

⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.

🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.

🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20.

View: https://x.com/suppressednws/status/1856194763201929559?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Umeona Vyeo vya wanaotangazwa kufa? Captain, Collonel, sergeant etc IDF hawatangazi vifo vya wanajeshi wa kawaida, sasa kama wanajeshi wakubwa wenye vyeo wanapukutika hivi imagine hao wadogo. Ndio unaelewa kwa nini yule jamaa wa Mochwari alikua analia maiti ni nyingi zinanuka na makontena hayatoshi.
 
Kumbuka Urban Guerillas style of fighting ni ngumu ndio maana Maelfu kwa Maelfu ya Watu wanauwawa.

Lakini mwishowe Israel itashinda Trusts me.
Vita ni vita ukipigana na jokaaa jambaziii GAIDI mkuuu jua akishindwa vita yeye vile ndege anazo missile anazo uko juu atauwa watu akidhani ndio kitisho ili ww umuogope lkn dawa yake ndio iiyo inaendelea peleka motoootu kwakuwa ww unauwa wanajeshi yeye anauwa watoto wamama wewe endelea kupekeka moto matokea yake atakimbia tu kama kule SAIGON VIETNAM tumeona majesh ya Marekani baada ya kuona wanapelekewa moto mkali wakaanza kuuwa watu ovyo watoto wamama shule visima wavietnam milion3 walikufa raia tu iyo ndio sera ya jokaaa kuu likitaka kufa kwaiyo wapalestina 43000 ndio waweke mtutu chini ata 50000 bado laki bado kaka vita ndio chaguo la Israel sasa ndio wakati wa vita pande aliochagua yeye kwamala ya kwanza ktk vita zote alizopigana hiii vita anaendapigwa vibaya sana hii vito aisimami adi zayuni akimbie kama alivokimbia Marekani kule VIETNAN, utakumbuka maneno yangu.
 
SAIGON VIETNAM
Vietnam 🇻🇳 ule ulikuwa ni uwanja mpana wenye Misitu mizito na Nchi kubwa kimaeneo huku China na USSR wakisaidia Vietnam 🇻🇳 na Viet Cong.

Gazza ni Kilometres 41 kwa urefu na 6 kwa mapana halafu imezungukwa na IDF labda uwe Mbumbumbu wa mwisho ndio utaamini kuwa Magaidi ya Hamas yatashinda.
 
Hizbollah wanakera sana yaaan wanakupiga halafu wanakutambia maneno ya shombo mara hiloo limeshindwa kuchukua hata kijiji kimoja,tumelipiga 2006 na leo tunalambisha mchanga, mara hiloo halitarudisha watu kaskazini, hapo wajomba wana jaa upepo wanakuja tena kichapo kinaendelea inaelekea hizbollah alikua anatamani sana hi chansi wajichanganye wazayun
 
Vietnam 🇻🇳 ule ulikuwa ni uwanja mpana wenye Misitu mizito na Nchi kubwa kimaeneo huku China na USSR wakisaidia Vietnam 🇻🇳 na Viet Cong.

Gazza ni Kilometres 41 kwa urefu na 6 kwa mapana halafu imezungukwa na IDF labda uwe Mbumbumbu wa mwisho ndio utaamini kuwa Magaidi ya Hamas yatashinda.
We ndio utakuwa mbumbumbuuuuu kwakua ww utashi wako unataka Hamas waweke mtutu chini kisha mje na NYUZI kibao zakuwasifia miungu yenu wazayuni hooo jehova kashindikana haaaa!, apa Nimekujibu kwa mfano uliotokea Vietnam ukisema kule kulikuwa na washilika kwani Hamas yupo pekeyake Hezbullaj Yemen Iraq Syria mzee mwenyewe Iran anaewafanya Wazayuni wote walale kwenye mashimo. Misitu ya kimkakati mbona Ipo Gaza. Sisi tunasema vita viendelee endeleeni kuuwa vitoto vichanga. Sisi tunauwa wanajesh mwisho mshindi atafaamika vifo vya watoto Dunia yote inalalamika Ichi ya Zayuni inachukiwa kila pembe ya Dunia endeleeni na mradi wenu wakuuwa watoto!! Lkn mbungi Bado ipo sana. . Akuna ushindi w mezan!!!
 
Back
Top Bottom