MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #141
Unafahamu kuwa Leo kuna kamanda wa kizayuni, mkuu wa kikosi kilichojipeka kimbembele Ghaza na wasaidi wake wawili wameshikwa na wako utumwani saa hizi? Jionee:
View attachment 2811054
View attachment 2811055
Wanawake mtapewa nini maana waume zenu akina HAMAS wanawahishwa kupata mabikira
Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?
As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...