Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ukisikiliza Hadithi za Waislam unaweza ukashangaa sana inakuwaje watu wazima wafunidhsana.Kwa hiyo hilo kundi la mabikira 72 ambao wanaume wa kiislamu watapewa wakifika pepooni watakuwemo na hao viibibi vilivyorudishiwa bikra zao na kuwekewa.macho ya gololi?
Na fact is, Hadithi zote Mudi zimeandikwa na watu alioishi atleast miaka 150 baada ya Mudi