Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Unafahamu kuwa Leo kuna kamanda wa kizayuni, mkuu wa kikosi kilichojipeka kimbembele Ghaza na wasaidi wake wawili wameshikwa na wako utumwani saa hizi? Jionee:

View attachment 2811054

View attachment 2811055

Wanawake mtapewa nini maana waume zenu akina HAMAS wanawahishwa kupata mabikira
 
Wanawake mtapewa nini maana waume zenu akina HAMAS wanawahishwa kupata mabikira
Hilo swali hata mimi huwa najiuliza Wanaume wa Kiislamu watapewa mabikira 72 wajinome wakifika peponi je wanawake watapewa nini na wao wajinome?
 
Hilo swali hata mimi huwa najiuliza Wanaume wa Kiislamu watapewa mabikira 72 wajinome wakifika peponi je wanawake watapewa nini na wao wajinome?

Kuna mwanamke mmoja nilimuuliza akaniambia wao wameahidiwa wanaume watanashati kama Yusufu, yaani wameaminishwa Yusufu alikua mtanashati hivyo wao watakua wanagegedwa na hao wanaume.
Hawa jamaa yaani dini imeendekeza ngono tu kuanzia kwa muasisi wake ambaye nilisoma sehemu minyege ilikua inasababisha agegede katoto ka umri wa miaka 9 ilhali akiwa na wake kadhaa.

Kuna sheikh naye husema huko peponi itakua mwendo wa kulewa pombe kwa kwenda mbele, gambe aisei
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=401892225005255
 
Kafiri ni mtu asiekuwa muislam.
Kafiri ni mtu yeyote asiye wa imani ya dini yako. Yaani kwa wewe muislamu mkristo kwako ni kafiri na kwa mkristo, wewe muislamu kwake ni kafiri pia
 
kumbe Bibi Kuna muda huendeshwi na Emotions za kidini yaani humu ndani Jf Kuna ww my Grandma na mzee said Mohamed my Grandpa mna Elimu na madini ya kutosha kichwani I declare this I admire you guys shida ipo ni moja tu Religion yani Kuna muda mambo ya kidunia mnashindwa kuzijadili kidunia
 
Sio kulipua tu. Hata kuweka sumu au kufungulia huko maji full. Israel wanachohofia ni kuua na wale mateka wao. Sasa hiv ni muda wa kumalizana na hao kenge.
 
Sio kulipua tu. Hata kuweka sumu au kufungulia huko maji full. Israel wanachohofia ni kuua na wale mateka wao. Sasa hiv ni muda wa kumalizana na hao kenge.
Vipi mpaka sasa hivi hawaja iteka tu?
 
Vipi mpaka sasa hivi hawaja iteka tu?
Kuteka sio ishu hawa vichaa sio wanajificha kwenye vitanda vya wagonjwa ukisema ulipue ndio kelele hiz. Wanaume wanatangaza Vita halafu wanaenda kujificha kendergarten na hospital
 
Kuteka sio ishu hawa vichaa sio wanajificha kwenye vitanda vya wagonjwa ukisema ulipue ndio kelele hiz. Wanaume wanatangaza Vita halafu wanaenda kujificha kendergarten na hospital
Vita imesha washinda punguzeni propaganda.
 
Hilo swali hata mimi huwa najiuliza Wanaume wa Kiislamu watapewa mabikira 72 wajinome wakifika peponi je wanawake watapewa nini na wao wajinome?
Watarudishiwa bikra zao na watapewa macho mazuri kama Gololi. Quran 5:3 inaeleza vizuri hilo.
 
Unafahamu kuwa Leo kuna kamanda wa kizayuni, mkuu wa kikosi kilichojipeka kimbembele Ghaza na wasaidi wake wawili wameshikwa na wako utumwani saa hizi? Jionee:

View attachment 2811054

View attachment 2811055
Hawa walidhani wote mapanya kama wao wakisikia tu sauti ya King'ora wanaenda kwenye mashimo nchi nzima afu wanawacheka eti Hamasi, walitaka Hamasi aende kichwa kichwa bila tactics za vita?

Sa panya ni nani Waisrael au Hamasi

View: https://youtu.be/qrKOHy9S4hg?si=TUL5cg2iiSz9ctiR
 
Watarudishiwa bikra zao na watapewa macho mazuri kama Gololi. Quran 5:3 inaeleza vizuri hilo.
Kwa hiyo hilo kundi la mabikira 72 ambao wanaume wa kiislamu watapewa wakifika pepooni watakuwemo na hao viibibi vilivyorudishiwa bikra zao na kuwekewa.macho ya gololi?
 
Si kwamba Wapalestina wa kawaida hawataki kuondoka.La hasha.Hamas wanawatisha na kuwazuia kuondoka ili wajichanganye nao IDF washindwe kuwafikia kwa urahisi.Wametishwa kuwa kila atakayejaribu kuondoka anapigwa risasi afe.
 
Dunia isimame na Palestina , pale ambapo tutakubaliana kuwa HAMAS ni magaidi na hayana huruma kwa WAPALESTINA yanakaaje chini ya hospitali? HAWA jamaa ni waoga sana wanajificha chini ya HOSPITAL?? HAMAS HAIKUBALIKI....Pia nimeona watu wanataka kukimbilia mahali salama wao wanawazuia wasitoke , na wakitoka wana uwa mtu, Umeona hawa HAMAS walivyo waoga?? wanategemea kulindwa na WATOTO kulindwa na Wagonjwa hawa jamaa ... hawakubaliki ... waachie watu waende , wao ndio wapigane na Israel vita si wameianzisha wao wenyewe?? acha watu waende
 
Kwa hiyo hilo kundi la mabikira 72 ambao wanaume wa kiislamu watapewa wakifika pepooni watakuwemo na hao viibibi vilivyorudishiwa bikra zao na kuwekewa.macho ya gololi?

Anaelezea vizuri namna Pepo ilivyo katikati Mapaja ya mwanamke.
 
Hawawezi.Wanajua wakiwaachia raia waondoke tu,IDF hawatafanya kosa.Itakuwa Ni kabooom!Kwisha kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…