Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Ni kweli hakuna tatizo kati yetu na kenya ni mazoezi tu kwaajili ya hawa jamaa kujinoa zaidi na mbinu mpya za kupambana na ugaidi na mambo kama hayo.
Amani iwe nawe!
Wanajeshi hao walianza kuingia toka juzi, na wanakuja mahsusi kwaajili ya mazoezi ya kijeshi kwa nchi tano za jumuiya ya Afrika mashariki. Mazoezi hayo yatafanyikia mikoa ya kilimanjaro na Tanga na yatadumu hadi septemba 26.operasheni hii ya aina yake inaitwa kilmanjaro, kazi kwenu!
Usisahau kuna uchaguzi unakuja mwakani! Hisije kuwa ni moja ya mazoezi ya kujinoa na haya mambo ya kisiasa.Ni kweli hakuna tatizo kati yetu na kenya ni mazoezi tu kwaajili ya hawa jamaa kujinoa zaidi na mbinu mpya za kupambana na ugaidi na mambo kama hayo.
Amani iwe nawe!