Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli wakishangilia kuondoka Gaza

Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli wakishangilia kuondoka Gaza

Kumbe haiana haja ya kusismaisha vita maana hamas wanaelekea kushinda vita.

Principles of war mojawapo ni maintanance of the aim. Sasa hiyo withdraw ya IDF ina ukweli gani? au ni porojo za mitandaoni.

Hamas VS IDF matokeo yake yatakuwa kama, vita ya Iraq, Libya, Afghanistan na iliyokuwa Yugoslavia. Lazima viongozi wa Hamas popote na kokote walipo wataangamizwa na istoshe madhira watakayopata wapalestina kwa ujumla itawachukua miaka mingi kujijenga tena.

Sponsors wote wataandamwa vilivyo hasa Iran na Syria
🚨🇵🇸 Kauli mpya ya Abu Ubaidah Hamas IMETONDOKA:

“Katika saa 72 zilizopita, tumeharibu kabisa au kwa sehemu magari ya kijeshi 41, na kuua wanajeshi 25 na kujeruhi makumi ya wengine kwa njia mbalimbali.

Tulipambana na vikosi vya Israel vilivyokaliwa kwa mabavu katika safu sifuri kwa makombora na vifaa vya kuzuia ngome.

Vichuguu 2 na nyumba moja vililipuliwa na mitego ya booby, pamoja na operesheni ya kufyatulia risasi dhidi ya askari.
 
Mods msioganishe huu uzi wacheni watu wajadili…
Nasikia America kisha kodisha huko company ambazo zitapeleka vikosi vya kupeleka Israel, na vingine kutoka Spain na kingine sijafahamu bado nchi gani vitapelekwa badala ya Jeshi la Israel, ndio sababu Israel ka pull vikosi vinne sio Golan tu.

Watu wafahamu anaye pigana na Hamasi ni America, alikuwa anawatumia Israel, kawona ni kuku hawafai, sa anawatoa wa Israel ili kuleta majeshi ya kukodi kutoka mataifa mbali mbali, na kupunguza malalamiko kwa wananchi wa Israel kwenye serekali yao, sababu waisrael wamekufa ni wengi sana.

Afu pia Hamasi pia anapigwa vita na viongozi wa kiarabu hawataki kuona Hamasi anashinda vita, viti vyao wanaogopa vitapotea.

Watafanya kila njia watoe mapesa wawape America akusanye vikosi vya ma company hivyo vitatu

Kwa hio Hamasi wamemkusudia safari hi je Hamasi atashindwa? Sidhani
 
AM-50 Sayyad

1703281685578.png
1703281835988.png
 
It is IMPOSSIBLE to defeat these people! 💪
Yeye hupigana na mguu wake umekatwa, silaha yake haijapinda, azimio lake halijalainika, na nia yake haitavunjika ‼️
Askari gani hawa na hii ni imani gani?? 🔥🔻
 
Attachments

  • IMG_8456.jpeg
    IMG_8456.jpeg
    79.7 KB · Views: 1
Nasikia America kisha kodisha huko company ambazo zitapeleka vikosi vya kupeleka Israel, na vingine kutoka Spain na kingine sijafahamu bado nchi gani vitapelekwa badala ya Jeshi la Israel, ndio sababu Israel ka pull vikosi vinne sio Golan tu.

Watu wafahamu anaye pigana na Hamasi ni America, alikuwa anawatumia Israel, kawona ni kuku hawafai, sa anawatoa wa Israel ili kuleta majeshi ya kukodi kutoka mataifa mbali mbali, na kupunguza malalamiko kwa wananchi wa Israel kwenye serekali yao, sababu waisrael wamekufa ni wengi sana.

Afu pia Hamasi pia anapigwa vita na viongozi wa kiarabu hawataki kuona Hamasi anashinda vita, viti vyao wanaogopa vitapotea.

Watafanya kila njia watoe mapesa wawape America akusanye vikosi vya ma company hivyo vitatu

Kwa hio Hamasi wamemkusudia safari hi je Hamasi atashindwa? Sidhani
Kituo cha utangazaji cha Israel cha Channel 12 kilifichua siku ya Ijumaa kwamba wanajeshi 3,000 wa Vikosi vya Kulinda vya Israel (IOF) ambao walipata majeraha kutokana na uvamizi unaoendelea wa Israel huko Gaza wameorodheshwa miongoni mwa wale wenye "ulemavu wa kudumu katika jeshi."

Kulingana na mtangazaji huyo wa habari, idadi ya wanajeshi wa IOF waliojeruhiwa tangu Oktoba 7 imefikia 5,000 kufikia Desemba 9.

Idhaa hiyo iliongeza kuwa Idara ya Urekebishaji ya Israeli inaripotiwa kupokea askari wapya 60 wa IOF waliojeruhiwa kila siku kutoka kwa vikosi vya usalama na akiba, bila kuwajumuisha wanajeshi wa kawaida.

Zaidi ya wanajeshi 2,000, walioainishwa kama walemavu na wanaosimamiwa na Wizara ya Usalama ya Israeli, pamoja na 1,000 kutoka kwa vikosi vya kawaida, kwa sasa wanatibiwa na jeshi la Israeli.
 
Israel imeripotiwa kuyashambulia makanisa ya Gazan kwa kutumia viwianishi vilivyopokelewa na Bunge la Marekani

Katika jaribio la kuzuia mashambulizi ya Israel kwenye maeneo ya kidini huko Gaza, moja ya mashirika makubwa ya misaada ya Kikristo huko, Catholic Relief Services, iliripotiwa kupitisha kuratibu za maeneo kadhaa katika eneo hilo kwa wafanyikazi wa Seneti, ambao, nao, walituma Israeli. .

Vyombo vya habari vya Marekani viliripoti kwamba hatua ya shirika hilo la misaada ilikuwa ni jaribio la kupata ahadi kutoka kwa Israel ya kutolenga angalau majengo manne huko Gaza, yakiwemo mawili ambayo baadaye yalipigwa na jeshi la Israel.

Licha ya hayo Israeli ililenga makanisa kadhaa na mshambuliaji aliua wanawake na watoto kadhaa ndani ya kanisa. Kwa sababu hiyo, Papa alisema kuwa Israel inatekeleza mashambulizi ya kigaidi.
 
Tujadili uchafu vi clip vya kuokoteza
Wewe Muisrael mweusi wa Makete endelea na ushabiki mandazi…

Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni Ehud Olmert: Lazima kuwe na usitishaji vita mara moja katika Ukanda wa Gaza na Netanyahu lazima aondolewe.

Netanyahu lazima alitambua kwamba kufikia malengo aliyosema huko Gaza haiwezekani.

Netanyahu anatumia mbinu ya udanganyifu, ulaghai na tamasha la kisiasa na inawakilisha hali ya uongo mtupu.
 
New York Times from "Israeli" analysts:

▫️Expectations of an imminent victory over H@mas seem unclear, and the gap between the reality on the ground and Netanyahu's statements is growing.

▫️We expect the fighting in Gaza to continue for years and we are beginning to realize that eliminating H@mas in the short term is an unrealistic goal.
 
Guardian: Israel has failed

The British Guardian newspaper writes that Israel lost the war, but Netanyahu and his radical cabinet do not want to admit it.
 
Lazima washangilie. Huyu chini mmoja wao alikimbia Ghaza kurudi israel kwa miguu, mpaka leo anajikojolea kitandani kwa aliyokumbana nayo huko. Anasema watu wanabeba na kupiga RPG kama bunduki ya kawaida.

Back
Top Bottom