Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #21
🚨🇵🇸 Kauli mpya ya Abu Ubaidah Hamas IMETONDOKA:Kumbe haiana haja ya kusismaisha vita maana hamas wanaelekea kushinda vita.
Principles of war mojawapo ni maintanance of the aim. Sasa hiyo withdraw ya IDF ina ukweli gani? au ni porojo za mitandaoni.
Hamas VS IDF matokeo yake yatakuwa kama, vita ya Iraq, Libya, Afghanistan na iliyokuwa Yugoslavia. Lazima viongozi wa Hamas popote na kokote walipo wataangamizwa na istoshe madhira watakayopata wapalestina kwa ujumla itawachukua miaka mingi kujijenga tena.
Sponsors wote wataandamwa vilivyo hasa Iran na Syria
“Katika saa 72 zilizopita, tumeharibu kabisa au kwa sehemu magari ya kijeshi 41, na kuua wanajeshi 25 na kujeruhi makumi ya wengine kwa njia mbalimbali.
Tulipambana na vikosi vya Israel vilivyokaliwa kwa mabavu katika safu sifuri kwa makombora na vifaa vya kuzuia ngome.
Vichuguu 2 na nyumba moja vililipuliwa na mitego ya booby, pamoja na operesheni ya kufyatulia risasi dhidi ya askari.