Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Halafu wakirudi Bongo salama wanalipiza hasira zao kwa raia 😂Kwa hiyo wanarukishwa kichurachura na kuambiwa wagalegale au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wakirudi Bongo salama wanalipiza hasira zao kwa raia 😂Kwa hiyo wanarukishwa kichurachura na kuambiwa wagalegale au?
Propaganda nilete mimi? Unaweza jifananisha na mimi kwa uzalendo juu ya nchi yangu wewe?Acheni propaganda za kijinga. Habari iliyopo leo ni Nangaa kunusurika kuawawa. Battle ya Goma ilitokea Januari 27 na 28 na hakuna askari hapo wa Tanzania. Unaweka taarifa ya dakaka 48 wakati habari ya karibu mwezi. Upuuzi.
Acha nicheke kwanza, yaani wanajeshi watekwe na wanamgambo!?🤣🤣🤣Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u
Kwenye taarifa yao, waandishi hawa wameelezwa na Wanamgambo wa M23 kuwa Wanajeshi wetu wanashikiliwa mateka kwenye kambi zao ambapo wameweka bendera nyeupe kama ishara ya ku surrender.
Taarifa hiyo pia imewataja moja kwa moja wanajeshi wa Tanzania na kuelezea kuwa walishiriki kwenye vita dhidi ya M23 na kushindwa mapambano hivyo kuchukuliwa mateka.
Maombi yangu.
Kama taarifa hizi ni za kweli naomba Serikali yetu ianze kuchukua hatua kwa kuwawekea vikwazo Rwanda na kuchukua hatua nyingine za kijeshi dhidi ya Rwanda.
Nimeumia sana kama Mtanzania mzalendo!
View attachment 3252351View attachment 3252359
View attachment 3252361
Daaah! Inasikitisha sanaNO BODY CARES ABOUT NATIONAL PRIDE! KIPAUMBELE NI PRESIDENTIAL SEAT!
M23 ni Jeshi la Rwanda. Iyo kuwaita Wanamgambo ni cover tu.Acha nicheke kwanza, yaani wanajeshi watekwe na wanamgambo!?🤣🤣🤣
Kwani Tanzania bado kuna jeshi kumbe.... Duuuuh tulishajua halipo...!!!
Mungu atusaidie tu na mama atusikie... Hii aibu tunaificha wapi sie jamani... vipumbavu tu vi M23 vinatikisa nchi kama Tanzania... aseeee
Umeandika upumbavu. Wewe sio Mtanzania.Hii aibu tumejitakia wenyewe, it's about time mfumo wa recruitment ubadilike. Hii kuingiza watu jeshini kwa vimemo, kuokota vijana kutoka UVCCM wasio na sifa na kuwageuza wajeda kuwa chawa ndiyo products hizo zinazodhihirisha udhaifu wa jeshi letu. Yaani hata TISS huwa wanazoa kutoka UVCCM not like the way it used to be back in the day ambapo vetting and scrutiny was thorough.
Tujitathmini.
Daah umeongea maneno manitowoc sana. Inasikitisha sana.Vijana wetu wanadhalilishwa huko huku watu wanazurura kusaka madaraka kwa kugawa mitungi ya gesi!
Kilichoniuma ni heshima aliyopewa Kagame alipokuja pale Airport wakati vijana wetu wameshikiliwa mateka na vikosi vyake.Vijana wetu wanadhalilishwa huko huku watu wanazurura kusaka madaraka kwa kugawa mitungi ya gesi!
Ongeeni Sasa na watekaji Ili waachiwe huru.Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u
Kwenye taarifa yao, waandishi hawa wameelezwa na Wanamgambo wa M23 kuwa Wanajeshi wetu wanashikiliwa mateka kwenye kambi zao ambapo wameweka bendera nyeupe kama ishara ya ku surrender.
Taarifa hiyo pia imewataja moja kwa moja wanajeshi wa Tanzania na kuelezea kuwa walishiriki kwenye vita dhidi ya M23 na kushindwa mapambano hivyo kuchukuliwa mateka.
Maombi yangu.
Kama taarifa hizi ni za kweli naomba Serikali yetu ianze kuchukua hatua kwa kuwawekea vikwazo Rwanda na kuchukua hatua nyingine za kijeshi dhidi ya Rwanda.
Nimeumia sana kama Mtanzania mzalendo!
View attachment 3252351View attachment 3252359
View attachment 3252361
Zaidi wanaweza kutumia njia ya Mombasa ambayo nayo tunaweza kui sabotage pia.Hiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Tuache uzushi na propaganda , mhariri mkuu wa gazeti asimulia alichokiona Goma na Bukavu
22 February 2025
MGOGORO WA DR Congo : Yaliyokutwa katika ghala la silaha za askari wa Tshisekedi na mipango yake ya kuvamia Rwanda
View: https://m.youtube.com/watch?v=STZBGC_UncE
Mhariri mtendaji James Munyaneza wa The New Times Rwanda atoa ushuhuda wa kina alipopata fursa kuwepo Goma na leo akiwa studio pamoja na mwandishi James Kahuranga kwa njia ya simu akiwa Rusizi kutupa habari za kina...
Inaonesha FARDC walikuwa wamejipanga kuivamia Rwanda kutokana na mpangilio wa zana zilivyopangwa (formation) kuelekea nchi ya Rwanda. Mhariri mtendaji James Munyaneza anasimulia kwa undani hali hiyo alivyokuwa amejipanga Tshisekedi ..
Mhariri mtendaji James Munyaneza alichokiona Goma ni uthibitisho unaoweza kuchukuliwa kuwa kulikuwa na mkakati mpana wa jeshi la Congo FARDC, Burundi kuivamia Rwanda kama tukio la bahati la M23 wasingejitokeza na kutibua mipango hiyo kwa ...
Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika eneo la Airport ya Goma ambapo kilikuwa kitovu cha mapambano makali baina ya FARDC na M23 yaliyotokea wiki mbili zilizopita ....
Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika kambi iliyokuwa na hadhi ya Joint Command Centre iliyokuwa inaratibu mipango ambapo kulikuwa na milingoti minne ya bendera kuwakilisha jeshi la Congo FARDC, jeshi la Burundi, jeshi la SADC SAMIDRC, jeshi la BURUNDI na FDLR - mgambo wa intarahamwe
Na kuwa ...Joint Command Centre hiyo ni kambi ongozi ya Operesheni za kijeshi kuna nyaraka na ramani zilizotokana ukusanyaji wa intelejesia ya kijeshi zinazobainisha maeneo mkakati nyeti ambayo FARDC na FDLR wangeyashambulia Rwanda... zilizoachwa baada ya kambi hizo kukimbiwa kufuatia kipigo kutoka kwa M23
Kilima Nyoka vilikuwepo vikosi special forces wa FARDC wakiwa wamejichimbia wanataza mpaka wa Rwanda na Kanyamahoro kulikuwepo kambi ya FDLR iliyo kilometa 3 tu kutoka mpaka na Rwanda..
Kambi zenye majina ya Satan 2 (shetani) Armageddon (Ziwa la Moto) majina hayo yakiashiria unyama unyama na silaha kali za maangamizi zilizo tayarishwa kuishambulia Rwanda ...
Kambi za mamluki waliosema ni 'wataalamu' kwa kumaanisha wangekuwa wanatoa ujuzi wa kutumia silaha hizo za maangamizi za 'shetani' na 'Ziwa la Moto' kuitia adabu Rwanda ..
View attachment 3252482
Kwa hiyo majeshi haya FARDC, kikosi cha ulinzi wa Rais, FLDR, mamluki wote hawa wangejiunga pamoja kuivamia Rwanda kwa kustukiza ... kama M23 wasingeanzisha mashambulizi February 2023..
Makontena yaliyosheheni silaha za mizinga ya masafa marefu ya kila aina , RPG , sniper rifles, kamikaze drones, camera ikionesha ingekuwa vita ya kisasa ...
Masimulizi hayo ya Mhariri mtendaji James Munyaneza yanakwenda na video mwendo ndani ya mahojiano haya ya ushuhuda wa kina..
Wataalamu kijeshi, utambuzi (intelejensia) ya kijeshi na intelejensia ya kiraia wanasema mkusanyiko huo wote wa mikakati, silaha, utaalamu, matayarisho mazito ya upande wa serikali ya Tshisekedi jirani na mpaka wa Rwanda. i
Inaonesha hayakuwa kujitayarisha kuishughulikia majeshi ya waasi wa M23 bali lengo lilikuwa kukamilisha tamko la Tshisekedi kuwa wataipiga Rwanda na kubadilisha uongozi wa kiserikali uliopo nchini Rwanda..
Vifaa vya Tshisekedi vilivyokutwa na M23
View attachment 3252480
Labda KenyaHiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Kagame ukiendekeza mazungumzo na yeye ndo anakupanda kichwani. Huyu dawa yake ni kumfanyia mafia tu na baadae kumpotezq kabisa.Ongeeni Sasa na watekaji Ili waachiwe huru.
Acha uchoko wewe,umeshiba maziwa ya ng'ombe wenye mapembe marefu unakuja kujambajamba hapa,jichokonoe na hayo mapembeHii aibu tumejitakia wenyewe, it's about time mfumo wa recruitment ubadilike. Hii kuingiza watu jeshini kwa vimemo, kuokota vijana kutoka UVCCM wasio na sifa na kuwageuza wajeda kuwa chawa ndiyo products hizo zinazodhihirisha udhaifu wa jeshi letu. Yaani hata TISS huwa wanazoa kutoka UVCCM not like the way it used to be back in the day ambapo vetting and scrutiny was thorough.
Tujitathmini.