Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

Acheni propaganda za kijinga. Habari iliyopo leo ni Nangaa kunusurika kuawawa. Battle ya Goma ilitokea Januari 27 na 28 na hakuna askari hapo wa Tanzania. Unaweka taarifa ya dakaka 48 wakati habari ya karibu mwezi. Upuuzi.
Propaganda nilete mimi? Unaweza jifananisha na mimi kwa uzalendo juu ya nchi yangu wewe?

Hiyo habari nimeitoa X nq imepostiwa leo saa kumi na mbili jioni.
 
Acha nicheke kwanza, yaani wanajeshi watekwe na wanamgambo!?🀣🀣🀣
 
Kwani Tanzania bado kuna jeshi kumbe.... Duuuuh tulishajua halipo...!!!

Mungu atusaidie tu na mama atusikie... Hii aibu tunaificha wapi sie jamani... vipumbavu tu vi M23 vinatikisa nchi kama Tanzania... aseeee


Nchi yoyote inayoendekeza uchawa, inadumaza weledi na ubunifu wa taasisi zote. Kipindi hiki tuombe sana tusivamiwe na nchi yoyote ile, tutapoteza kila kitu.

Hata taasisi zilizotakiwa kuzingatia weledi zimejiingiza kwenye siasa na uchawa, matokeo mengi ya kushindwa na ya aibu, tuyatarajie siku za usoni.
 
Umeandika upumbavu. Wewe sio Mtanzania.
 
Ongeeni Sasa na watekaji Ili waachiwe huru.
 
Hiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Zaidi wanaweza kutumia njia ya Mombasa ambayo nayo tunaweza kui sabotage pia.

kwa hatua tuliyofikia sasa inabidi tutumie umafia na undava kweli.
 
Wana
Wanajeshi zaidi ya 5000 toka Rwanda waliingiaje Goma. Rwanda alipopigwa na Kagame kuuwawa, mtaniambia tutakachokipata baadae. Ameishajaribu Congo ameona ameweza, hataushia hapo. Burundi iko njiani na Tanzania kadhalika.
 
FAHAMU SIASA ZA KONGO NA HISTORIA YA MAJESHI YA NCHI JIRANI

Siasa za DR Congo zenye makandokando (complexity) ya kuvuta na kupiganisha majeshi ya nje ndani ya DR Congo huku suluhu ya kudumu ya amani na usalama kushindwa kupatikana kutokana na makundi mengi kushirikishwa.

Makundi hayo ikiwemo yale ya kidola (majeshi ya kigeni) na wadau wasio wakidola yaani (non State actors) vikundi vya mgambo zaidi ya mia (wazalendo) vya ndani ya DR Congo pia mashirika ya kimataifa kama UNHCR wanaotaka vita zisikome kupata ajira, mafungu ya fedha.

Hivyo mataifa jirani hayatakiwi kuendeshwa kwa mihemuko kwa kusikiliza propaganda kutoka kwa kila makundi hayo ya kidola na yasiyo ya kidola.

Tanzania inapaswa kuendelea na njia ya mazungumzo yaliyokubaliwa tarehe 8 February 2025 wakati maazimio ya wakuu wa SADC na EAC kubaini njia za kijeshi hazitofanikiwa kutatua mgogoro wa Congo baina ya wakongomani.

TOKA MAKTABA :
Jenerali James Kaberebe alivyotimuliwa kutoka kuwa kamanda wa majeshi ya Congo chini ya utawala wa Mzee Laurent Kabila na kurudishwa Rwanda ambapo aliteuliwa kuwa mkuu wa Majeshi ya Rwanda,

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZJS6iCSk_NI
Marais wa Angola, rais Zimbabwe ya Robert Mugabe, rais Fidel Castro wa Cuba, Yasser Arafat kiongozi wa PLO ya Palestina walitia timu na kufika Kinshasa kumuunga mkono Laurent Kabila huku Rwanda na Uganda kumpinga Laurent Kabila aliyewafukuza James Kabarebe pamoja na majeshi ya Rwanda na Uganda yaliyokuwa Kinshasa. Pia nchi za Marekani, South Afrika chini ya rais Nelson Mandela , Umoja wa Mataifa na wadau wengine walijitwika jukumu la kumkingia kifua Laurent Kabila ..

Uganda na Rwanda zikaamua kumega mapande kinyemela ya Mashariki ya Congo na kujiwekea vikosi humo kwa madai ya kiusalama dhidi ya majeshi ya waasi ya FDLR ya Rwanda na lile la ADF waasi dhidi ya Uganda,...

Mgogoro huu ukapachikwa jina Vita Kuu ya Dunia ya Afrika kutokana na kuhusika kwa majeshi zaidi ya sita ya kiafrika, Cuba, Mamluki , majeshi ya Umoja wa mataifa, mgambo(wazalendo) ...

Tukiruka hadi sasa 2025 kipindi tulichonacho vita ya Mashariki ya Kongo majimbo ya Mashariki ya Kongo tayari yameangukia na kudhibitiwa na majeshi ya waasi huku Uganda na Rwanda wakilaumiwa kuwepo Bunia Ituri, Kivu ya Kaskazini Goma, Kivu ya Kusini Bukavu na waasi wakuipa kwenda hadi Kinshasa ...ni marudio ya Urithi wa Siasa za Kanda za Maziwa Makuu ...
 
Acha uchoko wewe,umeshiba maziwa ya ng'ombe wenye mapembe marefu unakuja kujambajamba hapa,jichokonoe na hayo mapembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…