Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

Tunategemea taarifa kinyume na uongo wa mtoa mada. Kumtukana sio jibu. Muungwa hunyamaza na akijibu majibu yake ni murua, sahihi na kweli. Usitukane mkuu.
Taarifa!!..huyo analeta taarifa au anadhihaki, mmejazana humu kuandika ujinga,kama man nyege za vita na tanzania si vusheni vifaru hapo rusumo
 
Acha utoto kwenye mambo makubwa.....
 
Hujui ulisemalo.Jeshi letu halijaenda pale kupigana vita bali kulinda Amani.So waliwanyangany'a silaha wakiwa so innocent.
 
Hizi habari za zamani.
Na niliweka video hapa.
Ile video nilikuwa naiweka iliondolewa. tena na tena.
 
TANZANIA sasa kama nchi. ni wakati wa kwenda kuisaidia congo na sio kutegemea UN MONUSCO na SADIC.
hawa wazungu wanaweza kuhujumu tu ili biashara zao ziende.
Mkuu vita ni gharama! Hiyo fedha ya kupeleka majeshi yetu kupigana kama sisi tutaipata wapi?
 
Hawa MAKADA WA CCM wameshindwa kujitetea kabisa?
 
Taarifa!!..huyo analeta taarifa au anadhihaki, mmejazana humu kuandika ujinga,kama man nyege za vita na tanzania si vusheni vifaru hapo rusumo
Jeshi limesheheni MAKADA WA CCM, ni lazima lilete aibu tu.
 
M23 hawawezi kuthubutu kuwashikilia mateka askari wa SADC.
Askari wa SADC wapo kambini na humo kambini hakuna M23.
Kuna ceasefire kati ya SADC na M23.
Technical report ya vyombo vya ulinzi vya EAC na SADC imeshakamilishwa, kutakuwa na maamuzi
All in all, EAC block imeingia kwenye peace talks, tusitegemee sana kuwa na engagement na M23.
Pia tusiojuwa mambo ya kijeshi tusitegemee wanajeshi 1300 wafanye patrol na kuwafukuza wanajeshi karibu 15000.
 
Taarifa!!..huyo analeta taarifa au anadhihaki, mmejazana humu kuandika ujinga,kama man nyege za vita na tanzania si vusheni vifaru hapo rusumo
Unapojumuisha watu unakosea. Wewe huna uchungu kutuzidi. Wanajeshi wetu, wanatuuma. Kama amepotosha anakosolewa kwa taarifa yako nyingine sahihi. Kumtukana tu sio taarifa unayotusaidia. Nazeekea Tanganyika navushaje kifaru nijipige mwenyewe ? Humu JF soma vizuri uwajue Watanganyika halisi na wahamiaji wanafurahia anguko letu.
 
Jamaa bwege sana huyo yaani kabisa anatuletea habari ambayo imehaririwa na Mnyarwanda anataka ndio tuiamini? Eti Tshekeds alikuwa anajiandaa kuivamia Rwanda serious? Hata mtoto mdogo anayefuatilia hii battle hawezi kukubqliqnq nq huo uongo.
Uko sahihi. Wanyarwanda wanatengeneza propaganda za uongo kuhalalisha uvamizi wao nchi nyingine. Askari maelefu wamevuka mipaka na silaha nzito kuivamia Congo. Ni makosa, ushetani, muuaji na uroho wa madini na mali za Congo.
 
Mkuu vita ni gharama! Hiyo fedha ya kupeleka majeshi yetu kupigana kama sisi tutaipata wapi?
kama unaogopa ghalama vipi kuhusu usalama wako.na wa nchi yako?
huyu adui anaeichokoza kongo kwasasa akifanikiwa atakuchokoza na wewe kwenye nchi yako.
 
Hyo ndo kazi ya jeshi hakuna lelemama,wapelekwe wengine tena wakapambane

Unawekaje bendera nyeupe,hicho ndo tulichowafundisha
 
Uko sahihi. Wanyarwanda wanatengeneza propaganda za uongo kuhalalisha uvamizi wao nchi nyingine. Askari maelefu wamevuka mipaka na silaha nzito kuivamia Congo. Ni makosa, ushetani, muuaji na uroho wa madini na mali za Congo.
Ndo mana sasa umeona wanakuwa condemned na UN, US, UK na Mataifa mengine ya Ulaya.

Ushahidi umeonesha kabisa Wanajeshi wa Rwanda wakivuka mpaka kwenda kupigana Goma na Kivu Kusini. Na hata silaha zilivushwa.

Sie kutowacondemn na kuwachukuliq hatua Rwanda ni udhaifu mkubwa sana tuliouonesha.

Tujitafakari na kuchukua hatua.
 
Wana

Wanajeshi zaidi ya 5000 toka Rwanda waliingiaje Goma. Rwanda alipopigwa na Kagame kuuwawa, mtaniambia tutakachokipata baadae. Ameishajaribu Congo ameona ameweza, hataushia hapo. Burundi iko njiani na Tanzania kadhalika.
Burundi haiwezi kusumbuliwa na Rwanda. Pengine ni moja ya nchi inayoogopwa sana na Rwanda. Burundi na Rwanda ni nchi zenye wahutu wengi. 85% ya wananchi wa nchi zote hizo ni wahutu na watutsi ni 14%. Mgogoro wowote ule wa kikabila utakaojitokeza kwenye nchi za Burundi na Rwanda utakuwa na athari mbaya kwa watutsi kwani wako wachache sana.
 
Labda ni umaskini wetu kuogopa kukosa pesa zao. Vinginevyo tungewapiga sanctions. Wasipitishe bidhaa vyao kwetu.
 
kama unaogopa ghalama vipi kuhusu usalama wako.na wa nchi yako?
huyu adui anaeichokoza kongo kwasasa akifanikiwa atakuchokoza na wewe kwenye nchi yako.
Uko sahihi. Gharama tunayoiogopa sasa tunaweza kuipata mara mia endapo tutavamiwa. Uzalishaji unasimama, miundombinu inaharibiwa, vifo vinatokea, madeni ya silaha yanaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…